Mm nimteja nimeleta malalamiko tanesco mbezi baada ya gari kugonga nguzo tuliwajulisha wakaja watu wa emergency wakakata umeme na mita wakaiweka kwa mjumbe wa serikali za mtaa
Tangu mwezi wa 3 mpaka leo hawajaturudishia umeme na tulipewa TB namba 4394 tumezunguka tanesco mpaka tumechoka na umeme hatujarudishiwa nadhani kupitia uzi huu mbezi wajirekebishe nadhani tutarudishiwa umeme hata kesho
Cm tuliyopewa haipokelew na akipokea ni mdada majibu yake cyo ya mtumishi wa serikali ya awamu hii ya 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbezi ya kimara
Natatizo liko kimara vinane jirani na kwa Kaseja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco nendeni kunduchi pande za ununio dar es salaam, karibu na shule ya msingi ununio kuna transfoma nimeungua sababu ya mafuta ya transfoma kuibiwa sijui ndivyo navyosikia sasa sijajua mafuta yameibiwa vp na jiogorafia ya pale ni ngumu kuiba kwa mtu mwngne nje kama sio mfanyakazi wa Tanesco ambaye hapendi maendeleo ya shirika hili maana transfoma imekaa barabarani na mazingira ya ofisi ya serikali za mitaa pamoja na baa.
Naombeni muende mkatatua tatzo hilo ni week sasa na nyie mnasema eti mpaka mumkamate aliyeiba mafuta hii si sawa mnakosa mapato kwasababu za kijinga na waomba kabla hatujaripoti na mheshimiwa waziri na raisi pia.
Over. Toka chato hapa kwasasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwa tishi Tanesco ila ndo majukumu yenu kama shirika,hilo la kusema mpaka kuwakamata waharifu ndo mrekebshe haliwahusu wananchi bali wananchi wanataka umeme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani naomba kujuzwa, iwapo Tanesco mmeacha nyaya chini zikiwa na umeme na alafu umeme ukamnasa mtu hadi huyo mtu akafa, je naomba kujua nani anawajibishwa na aliyefiwa anafidiwaje? Vip hapo sheria ikoje? Na napaswa kufuata hatua zipi?
 
Mimi tatizo langu ni kwamba nikinunua umeme wa Sh. 5000 napewa unit 13 na point. Ikabidi nifanye ufuatiliaji nikagundua nimewekwa kundi la T1 lakini kwa matumizi yangu YA NYUMBANI naona nastahili kuwekwa kundi la D1 kwasababu sina matumizi yanayoweza hata kufikia unit 75 kwa mwezi.

Naomba kuelekezwa namna ya kubadilisha matumizi ya mita.
 
Tunaomba namba yako ya mita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani naomba kujuzwa, iwapo Tanesco mmeacha nyaya chini zikiwa na umeme na alafu umeme ukamnasa mtu hadi huyo mtu akafa, je naomba kujua nani anawajibishwa na aliyefiwa anafidiwaje? Vip hapo sheria ikoje? Na napaswa kufuata hatua zipi?
Swala hili haliwezi kujibiwa bila kujua undani wa taarifa husika, Tafadhali onyesha taarifa kamili kwa kuwa nyaya haziwezi kuachwa chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali onyesha namba ya simu na mwezi uliotoa taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mte aliyembali na miundombinu ya umeme anashauriwa kusubiri miundombinu imfikie ili apate huduma ya umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu TANESCO tatizo ni nn mbona huku mitaa ya Mbezi beach Tangibovu, Makonde etc.... umeme umekatika toka jana saa nane usiku na hakuna taarifa yeyote. Kipindi hiki cha Corona wengine tunafanyia kazi nyumbani, jamani mnatuangusha.
 
TANESCO CHARAME WANATUTESA SANA WATEJA MBANDE NA KISEWE TEMEKE KUNA LINE HAINA UMEME TANGU ASUBUHI MPAKA SAA HIZI TUNAPIGA SIMU HAWAPOKEI NA ISITOSHE WANAZIMA KABISA SIMU YA KUTOREA TAARIFA AMBAYO NI 0714073588 ,TUNAOMBA MTUSAIDIE MAANA TATIZO LA KUZIMA UMEME KWENYE LINE HII HUJIRUDI MARA KWA MARA
 
Tanesco mnakwama wapi lakn kuna watu mnawatesa sana hyu ni mmoja wao

Its not over until its over...[emoji769]
 
Je mgao wa umeme umeanza? Nachingwea mkoani Lindi wiki ya tatu umeme unawaka lisaa limoja wanakata matatu. Kibaya zaidi ikifika saa kumi na moja jioni wakikata kurudisha saa tano au sita usiku, hujui hata nchi inaendaje maana wiki ya tatu hatuoni habari kwenye televiaheni usiku. Naomba kujua tatizo nini hapa Nachingwea mpaka tuendelee kupata mgao wa umeme pamoja na mvua zote hizi mabwawa yamefurika, umeme wa gesi upo hapo Mtwara si mbali. Tafadhari naomba kujua tatizo ni nini na litaisha lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco Mikocheni ni wiki sasa nimewapigia simu kuhusu tatizo la umeme ila hawaji. Kuna rafiki yangu aliwapigia simu wakafika kwake ndani ya masaa 4 kisa anawapa kitu kidogo!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa mrejesh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…