Kuna jamaa yangu anaishi Mbagala Mgeni Nani, Day in Day out analia umeme unakatwa, kinachomkera kuna eneo jirani yao haukatiki!Mbagala mnakata sana umeme
Jina ulililolipia...eneo na namba ya simu tafadhali
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mbona hunijibu kuhusu hili
Nawashukru kwa huduma hii, Mi niko Mwanza nina tatizo kama la ndugu hapo juu nimelipia TANESCO-NYAKATO nguzo mbili tangu Tarehe 6 Septemba 2016 hadi leo sijaletewa nguzo, kila siku madai ni hakuna nguzo sasa mi kama mteja hamuoni kama mnanionea?
Ikumbukwe hadi kulipa hiyo pesa kuna huduma niliamua kutozifanya ili nipate huduma ya umeme, badala yake nimekosa huduma zote mpaka leo huku nyie pesa yangu mkiifanyia biashara.
Naomba nipewe ufafanuzi kuhusu jambo hili.
Natanguliza shukrani zangu.
me nakumbuka walisema nikiona manunuz yangu ni chini ya unit 75 kwa mwezi kwa miezi miwili nilienda ofisin kwao wakanipa karatasi nikaandika barua kama ushahidi nikaacha baada ya muda walinipigia simu kuwa tayari baada ya kukidhi mahitaji..waliniambia nisinunue umeme zaidi ya shilingi 9150 kwa mwezi..Matumizi yangu ni chini ya unit 70 kwa mwezi nilikuwa naomba utaratibu wa kujisajiri ZERO TARIF maana nimejaribu bila mafanikio
nimeona wamesema kuwa akaunti ipo salama yale yalikuwa maelezo ya mteja walikopi. nilishituka nikajua labda waneibiwa PW lakni wapo vizuriHapa kuna watu wanatafutwa- si bure, unaweza kutoa taarifa za mtaa hadi nyumba kabla tanesco hawajafika tayari ushabebwa na wababe
Nitakupa mkuu, PM au hapa hapa directlyTunaomba namba yako ya mita tuangalie matumizi yako
si ndio huu hapa? au si kashatoa detail zote.....?Karibu mgeni,
Ila mngeanzisha uzi maalum kwa matatizo mbali mbali
Niliomba kuhamishwa tariff tangu mwaka jana feb kwa sababu natumia chini ya unit 75 kwa mwezi lakini wapiii, pili umeme ukiwa mdogo tu mita yangu ni ya juu inazima mara kwa mara.
37141693699weka na namba ya mita watakusaidia moja kwa moja
37141693699
37141693699