Waambie haoTanesco wilaya ya Hai mnakera. Umeme unakatika na kurudi kwa siku zaidi ya mara kumi. Tatizo hamlisemi, umeme unakatika hovyo. Kibaya zaidi wakati mgombea wa uraisi wa ccm anapokaribia au anapo hutubia. Hamuoni kama mbaihujumu ccm Hai?
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Tafadhali fika nacho ofisiniHelo TANESCO,
Niko Arusha nina changamoto ya kuharibikiwa na king'amuzi cha kuingizia token. Kilipiga shock kwahiyo kuingiza token napata tabu sana. Natumia betri kwa shida sana kwani hata mfuniko wa betri nao umeharibika. Nataka nijue utaratibu wa kupata kipya.
Imeandikwa,"Usimwamini mwanasiasa hata km ni mzazi wako".Kalemani alisema hautakatika
Huduma bora inaanza na utoaji wa taarifa kamili hapa au inbox kwani ni wajibu wetu sisi kupokea taarifa kamili kuzifatilia nchi nzima na kuhakikisha mteja wetu amepata huduma stahikiNinachoona kama majibu ya Tannesco ni - toa jina, eneo, namba ya simu etc etc. Mbona kama porojo zile zile. Bottom line umeme unakatika katika sehemu nyingi za nchi na tahadhari haitolewi kwa muda muafaka au sababu. Pili, kisingizio cha nguzo kukosekana kuunganishia wateja wapya ni kila kona ya nchi. Wakati wa porojo uishe kazi ifanyike ili uchumi wa nchi upate kuimarika
Tafadhali onyesha namba ya simuNaomba msaada.nipo mwanza sehem inaitwa mkolani ,tanesco na kwangu ni kama mita 500 ,na nimelipia umeme 320000 toka 28/09/2020 ila mpaka sasa hawajaja kunifungia mita na kila nkienda wananiambia wana imejensi zaidi ya mwezi ilo ndio jibu,sasa nimechoka nataka niende uongozi wa juu,naomba msaada.je nianzie wapi nlipga makao makuu huduma kwa wateja wakasema na staili kua niwe nshafungiwa wakasema watashuhulikia sasa zaidi ya wiki,je niingie ofis gani kwasasa ili nipate msaada.manake mita wanasema zipo ila shida kila siku wana imejensi zaidi ya mwezi sasa
Eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhaliTANESCO Dodoma Ambapo ni Makao makuu, mnatuua na njaa,
toka jana mmekata umeme hapa maeneo ya uhindini hatujafanya kazi siku nzima nimelala njaa jana na leo pia hakuna umeme kwanini msituonee huruma lakini
Ni hapa Maeneo ya Mtendeni Street 0754456402
Tumepokea taarifa mkuuNi hapa Maeneo ya Mtendeni Street 0754456402
Basi fanyeni mpango mnatuua wananchi wa maeneo haya expecial sisi tunaotegemea umeme