Dar es salaam
Kigamboni
Mikwambe, mali asili
Umeme unakatika kila baada ya masaa mawili au matatu unawka tena kila siku imekua hii tqbia kama vile sisi hatuna haki ya msingi ya kutumia umeme tunaonunua kwa pesa zetu wenyewe
Hivi tanzania kweli ifikie hatua nina pesa yangu ya kutaka kutumia umeme na miundo mbinu ipo ila nioate huduma ya umeme kwa tabu sanna kila mara kukatwa kwa umeme kulikoni
Kwa serikali si ilisema hakutakua na kukatika kwa umeme mbona kero tunashindwa kufanya shughuli zetu jamank
 
Cc Tanesco Tanzania
 
Hawa jamaa ndio mna hawataki kampuni binafsi zije kuzalisha na kuuza umeme sababu wanajijua watashika mkia kwenye kupata wateja wakwanza mimi nitakae hama, nchi yangu mwenyewe nina hela ya kununua umeme naweka umeme kwenye mita ili nipate umeme, umeme kila baada ya masaa mawiki unazima unawaka unazima unawaka, maendeleo gani ya nchi tutapata bila nishati ya umeme, serikali hamupo wakali na shirika la umeme wanafabya wanavyotaka
 
TANESCO TUPO KUKUHUDUMIA MSIMU HUU WA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA -24/7

MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

Zingatia

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Namba ya luku ya nini wakti mtaa mzima ndio mnatusumbua kuzima na kuwasha umeme kama vile switch mmempa mtoto

Details nyingine zote nishatoa na hili jambo tumeshalalamika sanna tanesco ila mnatupuuza miezi mitano nyuma tumeanza kulalamika mpaka tunapata uchungu wengine maisha yetu tunategemea nishati ya umeme

Na hapa mnajidai tu mnataka taarifa ila ukweli mnajua wote hapo kigamboni kua hapa kuna tatizo hilo mnajifanya tu sababu manona rabda wakubwa wataangalia hii thread na mtaanza kuulizwa ili mjibu hamuna taarifa ila ni waongo taarifa mnayo na mnapuuza kwasababu hakuna kiwanda huku wala hakuna ofisi za serikali ndio mana mnapuuza
 
Onyesha eneo wilaya simu na tatizo tafadhali
 
Nimeshaonesha eneo huko juu na nimeshaonesha tatizo kama sio ukosefu wa ustadi katika kazi yako nini kama nimekupa taarifa na hukupitia mnatutia umaskini kwa haki zetu wenyewe kila siku iwe kiguu njia kuja kwenu huko tanesco kueleza kua umeme kila mara unakatika

Na nitashangaa kusema hamuna taarifa mtaa mzima unakatika katika umeme na museme hamjui nyumba karibia 500 zikatike katike umeme kisha museme hamjui kama sio uongo

Mnajua vizuri tumeshachoshwa na nyinyi wengi wetu wameweka mfumo wa sola sababu ya ubabaishaji wa huduma ya umeme

Na kama kuna kiongozi yoyote mzalendo anaeona post hizi achukue hii fursa kuwawajibisha viongozi wa tanesco kwasababu wanaikosesha serikali mapato makubwa kwa kuzima na kuwsha umeme pia kutia wananchi umasikini sababu kuna tulio wengi tunategemea nishati ya umeme ili kujipatia kipato

Mijitu inakaa tu ofisini inakula mshahara ba haifanyi kazi inayopewa na mamlaka ipasavyo na kusababisha hasara na kero kwa wananchi na serikali
 
Ni uungwana wa mteja kutoa taarifa kamili hapa au kwa siri kwa kuwa bila taarifa kamili huduma haiwezi kutolewa kikamilifu.je ingekuwa bank ungetoa taarifa kamili? Ni vema kutusikiliza sisi watoa huduma na kutupatia ushirikiano
 
TANESCO naomba kufahamu inachukua mda gani kufungiwa umeme Tangu siku mteja amelipia. Binafsi wiki tatu zimepita toka nimelipia. Naomba kufahamu maximum huchukua mda gani kwa nyumba iliyopo ndani ya mita 20 kutoka kwenye nguzo
 
Utafungiwa ndani ya siku 30 za kazi
 
Tanesco Kibaha ni hovyoo, i wonder
 
TANESCO KIMARA TUMETOA TAARIFA TANGU ASUBUHI UMEME HAKUNA NJIA YA KWENDA BONYOKWA KABLA YA DARAJA KWA MZEE TEMU HAO EMERGENCY WANACHUKUA SIKU NZIMA KUFIKA ENEO LA TUKIO?HUDUMA MBOVU KABISA
 
TANESCO KIMARA TUMETOA TAARIFA TANGU ASUBUHI UMEME HAKUNA NJIA YA KWENDA BONYOKWA KABLA YA DARAJA KWA MZEE TEMU HAO EMERGENCY WANACHUKUA SIKU NZIMA KUFIKA ENEO LA TUKIO?HUDUMA MBOVU KABISA
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Kwa hatua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…