habari ndugu Oren Ishii tumepata taarifa zako na baada ya kuangalia kwenye mfumo tumeona kweli una vigezo. je tunaweza kujua maombi yako yalipelekwa ofisi gani ya TANESCO
HABARI

Inachukua muda gani mteja mpya kuunganishiwa umeme toka afanyiwe survey na kulipia gharama zote za kuunganishiwa umeme?

Naomba kufahamishwa.
 
HABARI

Inachukua muda gani mteja

mpya kuunganishiwa umeme toka afanyiwe survey na kulipia gharama zote za kuunganishiwa umeme?

Naomba kufahamishwa.

hii inategemea na maombi ya mteja mfano kama akiomba kuunganishiwa bila kuwa na nguzo ni siku 30 za kazi, kama kuna nguzo 1 ni siku 60 za kazi na kama kuna nguzo 2 ni siku 90 za kazi lakn hii inategemea na uwepo wa vifaa kama vifaa vipo tunafunga umeme hata ndani ya siku 2 lakn kama vifaa havipo kama kwa sasa tunachangamoto ya vifaa kama nguzo na waya hivyo basi tunawaomba radhi wateja kwa kucheleweshewa huduma na kuwaambia kuwa vifaa vikipatikana vitatumika kuwaunganishia wateja kwa kufuata mtililiko wa kwanza kulipia ndio anakuwa wa kwanza kufungiwa (FIFO)
 
Ahsante kwa majibu yako mazuri! Nimewaelewa
 
Tanesco sasa yapita miezi6 toka nmelipa gharama za kuunganishiwa umeme. Naombeni ajibu.

Nmelipia tare16/10/2016 mkaniambia ndani ya siku 90 sasa hivi sijui niwaeleweje. Nmeshaenda TANESCO Himo mara10 wananizungusha, like kama wanatengeneza mazingira ya kupewa rushwa na mimi sio MTU wakutoa rushwa kwenye huduma inayostahili kupewa
 
Mimi niko tarrif 4 mwezi uliopita nili nunua umeme wa sh 9,500/- kwa M-pesa nika pata unit 73.6 mwezi huu nimenunua 9,500/-
nimepata 73.90 Units ina maana nitaamishwa kwenda tarrir 4
 
Ndugu naomba kuuliza kunatatzo gani kwenye kuungashiwa umeme?
Nmelipia umeme tokea tare19/10/2016 mpka Leo ni miezi6 sijaona meseji wala nguzo.

Nmeenda Tanesco Himo nmeongea na meneja anasema bado kidogo utaratibu wakuwafikia ukombioni nmeenda mara10 himo sijapata msaada wowote.
Kuanzia Januariiiiii....!
 
Kuna mazingira ya rushwa kwa hili
 
Naomba kujuzwa gharama za nguzo 2 na gharama za kuingiza umeme kwa mjengo itakua Pesa ngapi!!?
 
Tanesco sasa yapita miezi6 toka nmelipa gharama za kuunganishiwa umeme. Naombeni majibu.

Nmelipia tare16/10/2016 mkaniambia ndani ya siku 90 sasa hivi sijui niwaeleweje. Nmeshaenda TANESCO Himo mara10 wananizungusha, like kama wanatengeneza mazingira ya kupewa rushwa.
 
Swali.
Nilinunua LUKU ya 4.3 million kwa ajili ya ofisi. Wakati zikiwa zimebaki kama unit 8000 na kidogo, ofisi yangu ikahamia kwenye jengo jipya ambapo luku ni unit 00. Na jengo tunalohama, ikaingia ofisi nyingine ambayo ni tawi la ofisi yetu na hivyo kushindwa kung'oa mashine ya luku.

Sasa swali, je, naweza kupunguza unit kutoka mashine moja kuhamishia mashine nyingine?
 
Tanesco sasa yapita miezi6 toka nmelipa gharama za kuunganishiwa umeme. Naombeni ajibu.

Nmelipia tare16/10/2016 mkaniambia ndani ya siku 90 sasa hivi sijui niwaeleweje. Nmeshaenda TANESCO Himo mara10 wananizungusha, like kama wanatengeneza mazingira ya kupewa rushwa na mimi sio MTU wakutoa rushwa kwenye huduma inayostahili kupewa
 
Tanesco sasa yapita miezi6 toka nmelipa gharama za kuunganishiwa umeme. Naombeni ajibu.

Nmelipia tare16/10/2016 mkaniambia ndani ya siku 90 sasa hivi sijui niwaeleweje. Nmeshaenda TANESCO Himo mara10 wananizungusha, like kama wanatengeneza mazingira ya kupewa rushwa na mimi sio MTU wakutoa rushwa kwenye huduma inayostahili kupewa
 
Endapo utapenda kuhamisha umeme unaweza lakinu mita haihamishiwi kutoka eneo moja kwenda lingine.Pia hauwezi kupunguza kwenda kwenye mita nyingine.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu pole sana najua kadhia unayopitia ila naamini suala lako limeshafika kunakohusika
 
Tanesco sasa yapita miezi6 toka nmelipa gharama za kuunganishiwa umeme. Naombeni majibu.

Nmelipia tare16/10/2016 mkaniambia ndani ya siku 90 sasa hivi sijui niwaeleweje. Nmeshaenda TANESCO Himo mara10 wananizungusha, like kama wanatengeneza mazingira ya kupewa rushwa na mimi sio MTU wakutoa rushwa kwenye huduma inayostahili kupewa
 
Tanesco sasa yapita miezi6 toka nmelipa gharama za kuunganishiwa umeme. Naombeni majibu
Nmelipia tare16/10/2016 mkaniambia ndani ya siku 90 sasa hivi sijui niwaeleweje. Nmeshaenda TANESCO Himo mara10 wananizungusha, like kama wanatengeneza mazingira ya kupewa rushwa na mimi sio MTU wakutoa rushwa kwenye huduma inayostahili kupewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…