Tanesco wilaya muleba mkoa kagera Kuna tatizo gani mbona umeme tangu Jana asubuhi mmekata na taarifa hakuna mnatukwamisha wengine kula kwetu mpaka umeme uwepo bila hvyo ni njaa tu tusaidieni tafadhali
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Tanesco wilaya muleba mkoa kagera Kuna tatizo gani mbona umeme tangu Jana asubuhi mmekata na taarifa hakuna mnatukwamisha wengine kula kwetu mpaka umeme uwepo bila hvyo ni njaa tu tusaidieni tafadhali
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Tuna siku 3 huku kilolo mkoa wa iringa hatuna umeme n TANESCO ipo kimya hatuna taarifa tatizo NI nini
 
Jina Yustina Thomas Tarimo

Eneo Boko Chasimba

Wilaya Kinondoni

Namba ya simu 0756072710

Tatizo nikinunua umeme kwenye mita namba 43026260646 inakataa napata ujumbe huu ""There are pending key chance tokens that need to be printed.

Toka jana

Ahsante sana .
 
Tangu mabadilike kwenye wizara na natanesco umeme moshi unazimika kila baada ya nusu saa, sijui ndiyo teknologia mpya au ndiyo mbinu za kubana matumizi Ili kuchochea maendeleo.

Hali hii inarudia kule tulikotoka yaani kwenye makoroboi, sola, magenereta n.k
 
Napiga customer care hawapokei pamoja kuwa link inaita
 
Tanesco mna shida gani na AIRTEL?
Nimejaribu kununua units kupitia mtandao huu bila mafanikio.
Ninapokea ujumbe huu;

Muamala wako Haukukamilika TXN Id : MP211004.1229.K97176, Mpokeaji kafungiwa

Tatueni hili tatizo!
 
Tanesco mna shida gani na AIRTEL?
Nimejaribu kununua units kupitia mtandao huu bila mafanikio.
Ninapokea ujumbe huu;

Muamala wako Haukukamilika TXN Id : MP211004.1229.K97176, Mpokeaji kafungiwa

Tatueni hili tatizo!
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

Oktoba 04, 2021

TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU

Tunawaomba radhi wateja wetu kutokana na hitilafu kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU iliyotokea leo Oktoba 04, 2021 na kusababisha wateja kushindwa kununua umeme.

Tayari wataalamu wetu wametambua tatizo na wanafanya kazi kuhakikisha linakwisha.

Huduma itarejea leo saa 9:00 Alasiri, tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.

Kituo cha Miito ya Simu Makao Makuu: +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Imetolewa na;
Ofisi ya Uhusiano,
TANESCO MAKAO MAKUU.
 
Sawasawa
Lakini jueni nyie ni bomu linalo karibia kulipuka
 
Kateni tuu umeme...nasema kateni tu..nmerud mda huu nyumban hakuna umeme naambiwa leo toka asubuj ni kata zima kata zima...nasemaje tuunguzien vitu tu

Kongolee sana kwa huduma mbovu
 
Tanesco hii line ya Tabora to Ulyankulu bora tu mje mtoe nguzo zenu tujue hatuna umeme wenu' hili shirika liuzwe tu hata kwa wachina'
 
Mimi nataka mnipunguzie gharama ya umeme maana nikinunua umeme wa 10,000 napata unit 28 wakati sina matumizi makubwa ni matumizi ya kawaida, hebu nipe mwongozo kwanza
Hivi TANESCO ndio mmegoma kunijibu au?
 
Ndugu zangu nataka kujua kama Tender hii imeshakuwa awared na kwa nani; TENDER NO. PA/001/2018-19/HQ/W/031
"Tanzania-Zambia Transmission Interconnector Project (TaZa); Design, Supply, Installation, Implementation, Training and Commissioning of Corporate Management System (CMS) and Supporting Infrastructure"
 
TANESCO kwa nini vituo vya kuzalisha umeme kwa mafuta mnajenga mikoani tena mbali kama Kigoma au Mwanza badala ya kujenga mitambo hiyo Dar Es Salaam ili msafirishe umeme kwenda mikoni kwa miundo mbinu ya wire kuliko kufungasha nishati (mafuta) kwenye mafurushi (malori) kwenda mikoani!

Kufanya hivo hamuoni kutapunguza:-
1. Gharama za usafirishaji
2. Bei ya umeme.
3. Msongamano barabarani.
4. Uharibufu wa magari.
5. Expert costs.
6. Na mengine mengi, ebu jazieni nyie wenyewe Tanesco!
 
Kazi inaendelea kusogrza grid ya Taifa kwenye Mikoa ambayo haijafikiwa hivyo Kigoma ni mpango wetu na tutawaangazia maisha muda mfupi ujao
 
Tunaomba kujua kama nguzo tunalipia na kwamba kwa sasa hakuna nguzo kabisa?
 
Tunaomba kujua kama nguzo tunalipia na kwamba kwa sasa hakuna nguzo kabisa?
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Nimelipia Maunganisho Mapya Tarakea Rombo tangu 22/april/2021 mpaka leo sijafungiwa umeme.Why.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…