Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
Hivi ndugu huwa unachagua maswali ya kujibu mm nimeuliza swali siku ya pili hii hujibu lakn wanaouliza leo wanajibiwa

Swali langu halihitaji mtaa eneo wilaya Ni kuniangalizia mita namba hiii 24210297172 KAMA NAVIGEZO VYA KUINGIA TARRIF NAMBA 4

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ipo eneo gani?
 
TANESCO

mimi nimelipia kuunganishiwa umeme toka January mwaka huu lakini mpaka leo bado. Je tatizo ni nini? mita hakuna au shida ni nini? Sijatoa bado taarifa Tanesco.
 
TANESCO

mimi nimelipia kuunganishiwa umeme toka January mwaka huu lakini mpaka leo bado. Je tatizo ni nini? mita hakuna au shida ni nini? Sijatoa bado taarifa Tanesco.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Jina George Solomon

Eneo: Kigamboni kisarawe ii

Wilaya: Kigamboni

Namba ya simu: 0621066753

Tatizo: Kuokuunganishiwa umeme

Toka lini: January 04, 2022

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Huku moshi kila siku umeme unakatika, kipindi cha JPM hayo hayakuwepo
 
Naomba kuuliza umeme wa REA unautaratibu tofauti na ule wa kawaida?? Maana kila siku huku njombe vijijini lazima ukate hii inakuwaje?
 
Eneo la Imbaseny,maji ya chai,Usa-River, Arumeru,Arusha umeme unakatika sana.Yaani unakatika Toka asubuhi mpaka usiku.Tafadhali mtufahamishe kama tupo kwenye mgao au tatizo ni Nini?

Kazi Iendelee!!!
 
Eneo la Imbaseny,maji ya chai,Usa-River, Arumeru,Arusha umeme unakatika sana.Yaani unakatika Toka asubuhi mpaka usiku.Tafadhali mtufahamishe kama tupo kwenye mgao au tatizo ni Nini?

Kazi Iendelee!!!
Ni kero kwa kweli 😞
 
Kuna kitu naomba kujua..

Kama tunatumia taarif ya chini ile ya buku 9 je...

Nikilipia efu 11 ili baada ya makato ya kodi ya elfu2 nibakiwe na umeme wa tarif ya chini yaani elfu9 kuna tatizo? Sinto amishwa tarifu nikinunua hivyo?

Nangoja majibu..

===

NB: Leo siongei kuhusu umeme kukatika katika maana kuna uwezekano mpaka hapo ofisini kwenu ulipo umeme umekatika.
 
NI NINI HASA TANESCO IKUNGI MNACHOFANYA
Kumekuwa na adha ya pekee kwa wakazi wa mji wa Ikungi na vitongoji vyake inayosababishwa na kitendo cha ukataji au UKATIKAJI wa Umeme usio na faraja na badala yake inakuwa KARAHA, Hivi kipindi hiki cha masika nguzo inaanguka timu ya dharura imekaa vipi hata mkate umeme toka asbh hata jioni saa moja na unawaka kama dk 4 kisha UNAKATIKA hii imekaaje.

Nasikia timu hii ipo lkni nini impact yake kama mambo yako hivi ? Je hali hii ni kote au hapa tu. Nadhani kuna haja yakubadilika kwa wahusika na timu nzima ya dharura Ikungi tanesco
 
Tanesco wameshindwa kazi ifike mahali serikali iruhusu private sector watuuzie umeme kama ilivyo kwenye huduma za mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…