Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
fungua hapa mkuu nilijibu pia lakn Bado na kesho utaniuliza tenaHivi TANESCO
Kwann kujibu swal dogo Kama langu umeshindwa NIMEKUULIZA NAOMBA NIANGALIZIE MITA NAMBA 24210297172 KAMA NAWEZA KUWA TARRIF NAMBA 4
sijapata jibu zaidi umeniuliza napatikana wapi nimekujibu MBAGALA KILUNGULE ..DSM
LAKN HUJANIPA MAJIBU SWALI LINA SIKU YA TANO LEO
JAMBO KAMA HILI NALO TUACHE KAZI TUKAPANGE FOLENI KUULZIA ?
NN MAANA YA KUJA HUMU
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Swala hili tumewahi kukujibu kupitia ukurasa wetu kuwa wateja wanaokidhi kuwa kundi la matumizi ya umeme unaloomba wanapaswa kuwa na sifa zifuatazo:Nakaa mbagala kilungule
Lakn Hili swal unaniuliza Mara ya tatu Sasa huwa hupitii posts zilizopita
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona mm jiran yangu yupo TARRIF ya 4 tunakaa mtaa mmoja hi imekaaje maana Kama unit 75 mm sifikish kwa mwez wastan n unit 49 had 53Swala hili tumewahi kukujibu kupitia ukurasa wetu kuwa wateja wanaokidhi kuwa kundi la matumizi ya umeme unaloomba wanapaswa kuwa na sifa zifuatazo:
1.Wastani wa matumizi usiozidi unit 75 kwa mwezi
2.Matumizi ya Nyumbani
3.Makazi ya vijijini
Hivyo hauna sifa za kuwa kundi unaloomba.
Tupatie namba yake ya mita kwa uhakiki na majibu sahihi tafadhaliMkuu mbona mm jiran yangu yupo TARRIF ya 4 tunakaa mtaa mmoja hi imekaaje maana Kama unit 75 mm sifikish kwa mwez wastan n unit 49 had 53
Naomba ufafanuzi maana had kuja huku kuuliz n baada y jirani yangu kuniambia hili na nimeshuhudia akinunua umeme unit 75 kwa tsh 9500
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tumepokea taarifa hii tunaendelea na hatua za utekelezaji kwa kuwa hili linahitaji uwekezaji mkubwa kwenye technologia, tukutoe shaka kuwa litawezekanaUnanunua LUKU kwa simu,unapewa tokeni,unachukua hiyo Tokeni unaingiza kwenye mita umeme uingie!
Huu ni uzembe wa hali ya juu kwenye ubunifu wenu. Kuna haja gani ya kufanya kazi mara mbili?? Uzitafute tokeni kisha uziingize!!! Muda mwingine haziji kwa wakati!! Kwanini zisiingie kwenye mita automatic kwenye mchakato wa kwanza??
Hata Sisi hatuelewi kila siku umeme unakatwa kama jana wamekata mara 5 yaani wanakata wanarudishaHuko dumila kwann mliwafanyia nn
Tanesco huko kila siku hamna umeme
Utatoa mrejesho mkuuhakuna boss magufuli kaondoka na 27 yake mimi nimetoka kulipia juzi 320,960/= na niliangaikia control number toka 14/9/2021 enzi hizo umeme 27 elfu ila ndo hivyo imekula kwetu kwa sasa wamesema wanakuja kufunga kesho ngoja nione
Bagamoyo kerege mnaiweka kundi ganiUpo kama ambavyo ulikuwa hapo awali lakini ni kwa wateja wa vijijini
Ukimpa namba ya mita ya jirani yako utakua umekosa busara sanaMkuu mbona mm jiran yangu yupo TARRIF ya 4 tunakaa mtaa mmoja hi imekaaje maana Kama unit 75 mm sifikish kwa mwez wastan n unit 49 had 53
Naomba ufafanuzi maana had kuja huku kuuliz n baada y jirani yangu kuniambia hili na nimeshuhudia akinunua umeme unit 75 kwa tsh 9500
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu upo maeneo gani, nataka nikalipie na mimi ila tatizo wataweka linihakuna boss magufuli kaondoka na 27 yake mimi nimetoka kulipia juzi 320,960/= na niliangaikia control number toka 14/9/2021 enzi hizo umeme 27 elfu ila ndo hivyo imekula kwetu kwa sasa wamesema wanakuja kufunga kesho ngoja nione
Sitofanya hivyo na majibu yake n ya uongo Sana Leo nilienda tanesco mbagala na barua wamechukua barua yangu na kuisain nimeambiwa nisubiry baada ya mwez mmoja ntakuwa nimeunganishwa na TARRIF 4Ukimpa namba ya mita ya jirani yako utakua umekosa busara sana
Huyu jamaa anayetusumbua humu hakuna issue yeyote imeripotiwa akaja na solution zaidi ya kuuliza maswali yake Yale.Sitofanya hivyo na majibu yake n ya uongo Sana Leo nilienda tanesco mbagala na barua wamechukua barua yangu na kuisain nimeambiwa nisubiry baada ya mwez mmoja ntakuwa nimeunganishwa na TARRIF 4
Sasa sjui huyu bwana majibu yake anayatoa wapi
Kuanzia leo nimempuuza kabisa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Cc TANESCO Malibu tafadhali.Kuna kitu naomba kujua..
Kama tunatumia taarif ya chini ile ya buku 9 je...
Nikilipia efu 11 ili baada ya makato ya kodi ya elfu2 nibakiwe na umeme wa tarif ya chini yaani elfu9 kuna tatizo? Sinto amishwa tarifu nikinunua hivyo?
Nangoja majibu..
===
NB: Leo siongei kuhusu umeme kukatika katika maana kuna uwezekano mpaka hapo ofisini kwenu ulipo umeme umekatika.