Hawa jamaa tangu wameweka yale Maharage kule uongozini maisha ya Wadanganyika yamekua mashakani sana, yani mtaani ni vilio vya kuunganishiwa umeme, hivi kuna shida gani? watu wanalipia umeme miezi hadi minne hawaunganishiwi, January anajitambua kweli?

Bora Kalemani alikua ana afadhali, wadanganyika poleni sana
 
TANESCO mlituliaaa sasa mmeanza tena kukata umeme ovyo ovyo Kimara.

Hii sijui ni mara ya ngapi mnakata umeme ndani ya masaa 24, nadhani hata mara 5 zinazidi. Usiku mnakata, mchana mnakata, asubuhi mnakata.

Aisee hii serikali hii dah!
Saa 7 usiku saa hizi mmezima umeme!security, joto...
 
Tazama ni saa 6 usiku na umeme unakatwa, Ni marekebisho hapana, Ni mvua kubwa hapana, Ni hela hatulipii hapana ila ni tanesco wameamua tu kukata.

Kumbukeni hili joto la Dar ni vigumu sisi kulimudu jamani usiku ni muda wa sisi kupumzisha miili yetu na viyoyozi ili tupate usingizi.

Mbona mnakuwa na mambo ya kipuuzi sana? Watu kwa hali hizi za kunyanyasana ni lini tutaendelea? Ni lini tutajivunia Utanzania wetu ikiwa tunaumizana wenyewe kwa wenyewe
 
Nimelipia 22/10/2022 lakini mpaka leo sijafungiwa huduma ya umeme kila nikienda ofisi zenu za mwanza igogo ni chenga zisizoisha. hivi kweli shir
ika la tanesco mnakataa miezi 8 bila kumfungia mteja huduma?

Kuna jirani yangu kalipia mwezi 3 2022 kaisha fungiwa huduma. kuna mazingira gani hapa mnatengeneza kwa wateja Kama sio kuchochea chuki kwa wananchi na serikali yao na kutengeneza mianya ya rushwa.....naitwa Michael makene Lusato niko mkoa wa mwanza wilaya ya ilemela kata ya buzuruga mtaa wa nyambiti karibu na msikiti nimelipia 22/10/2021.

Simu 0757415111.
 
Naitwa JOSEPH MPOGOLE natokea mbeya wilaya ya mbarali kijiji cha mabanda kitongoji cha mabanda B halmashauri ya mji mdogo rujewa

Malalamiko yangu ni kwa tanesco kushindwa kutuletea huduma ya umeme kwa miaka karibu 9 sasa

Kila tukienda wanatuambia eneo la REA na tukienda REA wanatuambia eneo la tanesco kwahiyo mivutano yao imepelekea sisi kukosa huduma kwa miaka mingi sana

Tunaomba ufafanuzi wa hilo ili tujue ni nyinyi au REA na hatua gani tuchukue ili tupate huduma hii

0743236711
 
Tanesco Mbeya
Mimi naishi Ilomba mtaa wa ituha saiv Kuna tatizo la umeme ni week saiv hatuna umeme mchana Wala usiku tunaomba msaada wenu na biashara haziendi kabisaa nimepiga sana cm haipokelewi 0762478938
 
Naishi mbeya maeneo ya ituha umeme unasumbua yaan unakata usiku na mchana tunaomba msaada wenu bas 0625734595
 
am sorry to tell you this kama huna mtu akupigie chapuo ukampa chochote hio cntrol namba hutaipata ontime, honestly nilitoa hela nikaipata
 
HIV kwa nn kusiwe na mdau mwingine yaan mbadala was Tanesco maan pekeyake anachoka Sana na anashindwa kutoa huduma kwa ufasaha Kama huku Mbeya mtaa was ituha tunashida bila umeme na kulala Giza bila taarifa zozote
 
Naishi mbeya maeneo ya ituha umeme unasumbua yaan unakata usiku na mchana tunaomba msaada wenu bas 0625734595
Je ni wewe mwenyewe au wengi? Je unewahi kutoa taarifa za eneo husika?.Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
am sorry to tell you this kama huna mtu akupigie chapuo ukampa chochote hio cntrol namba hutaipata ontime, honestly nilitoa hela nikaipata
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
 
Hello Tanesco,mita yangu ile ndogo imezingua haiwaki naomba kuuliza je naweza kuweka umeme kwa kupitia ile mita kubwa ya ukutani? Au njia mbadala ni ipi pale ambapo hiki kimita kidogo kikepata hitilafu?
 
Hello Tanesco, nilajaza fomu ili niondolewe kwenye matumizi makubwa taakribani mwaka mmoja ulopita lakini hadi leo ni komya. Naomba majibu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…