chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,097
- 1,457
siyo mimi ni mtaa woteJe ni wewe mwenyewe au wengi? Je unewahi kutoa taarifa za eneo husika?.Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Nakushauri kama ni kubadilishiwa tarriff uende kwenye tawi lao la wilaya mahali ulipo,mie nilifanya ivyo unaandika barua kwa meneja wa wilaya mahali ulipo kisha ukifuatilia unabadilishiwaHello Tanesco, nilajaza fomu ili niondolewe kwenye matumizi makubwa taakribani mwaka mmoja ulopita lakini hadi leo ni komya. Naomba majibu tafadhali.
Hiyo ni kweli kabisa kuna urasimu mkubwa sana kwenye kuunganishiwa umeme ukienda kwa halali kabisa utakaa miezi 10 ila ukitoa rushwa hata siku 7 haziisheAcheni siasa fisi maji nyie TANESCO kuna nyumba huku mtaani nimezishuhudia kuanzia msingi hadi inaisha na wamefungiwa umeme sie wengine huu unaenda mwezi wa 7 hatujapata huduma ya kufungiwa na tumeshalipia muda mrefu sana ,na ukiwauliza wa TANESCO ofisi ya Nyakato wanatoa sound za uongo uongo na kuomba rushwa
Msemaji alisema bei ya umeme itakuwa vilevile haito pandaZamani Tshs 10,000 unapata unit 28.1 lakini sasa hiyo point haipo au ukinunua umeme wa 1000 ulikuwa ukipata unit 2.7 lakini sasa hivi unapata chini ya hapo yaani hizo points zimepungua,je tatizo nini na mnadai umeme haujapanda?