nikutaka kujua kuhusu seald hakuna
Mr. Drilling, nitakujibu hilo swali lako kadiri ya uwezo wangu, kwanza tu Jinsi ulivyojieleza inaonekana hiyo mita haijafungwa kwenye nguzo, Ipo hivi Mita ya LUKU inakuwa na sealed tatu, mbili zinakuwa ndani, moja inakuwa nje kwenye safe box, kitaalam ile iliyopo nje inaitwa Temporary Breakdown (TB), linapotokea tatizo Lolote Fundi wa Tanesco akija hiyo sealed ya nje hukatwa tu, ndio maana inaitwa 'Temporary ' ila Utaratibu uliopo hata Fundi akiikata hiyo TB inatakiwa iwekwe kwenye Safe Box, siku yoyote miaka yoyote Tanesco wakipita wanatakiwa waikute pale.

Ikipotea ina maana itakuwa assumed kwamba imeenda kutumiwa ktk issue ingine illegal. Sijui kama nimekusaidia. Source ya hizo Taarifa ni kutoka ndani kabisa huko Tanesco.
 
Cha kuongezea si kwamba sealed hawakurudisha kwa kupenda! La hasha ila ni lazima ikatwe ili uweze kufungua safe box, Halafu sidhani kama hii ni big issue kwakuwa zile sealed za ndani si zipo intact?

Kama hujagusa zile sealed za ndani ni kitu understandable kabisa. Ila kama pia sealed ya ndani imekatwa hapo sina cha kukushauri.
 
Ndg Muhusika, mimi mkazi wa Kabuku / HANDENI (W) Tanga (M).

Kunatatizo la Low voltage maeneo yetu ya Kabuku mjini Primary school arier Tatizo kumekua kubwa , hasa kwenye nyumba yangu na aina ya miter niliyofungiwa ikifika saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku umeme unakatika na kuwaka, nilishawahi kuripot office ya TANESCO Wilayani ( HANDENI) wakaahidi kushungulikia tatizo Hilo, lakini sasa ni mwaka tatizo bado linatatiza.

Naomba office yako Tukufu itushughulikie tatizo hili. Hasa kwa aina ya hizi mpya umeme ukiwa low voltage inakata umeme automatic, sasa inakua usumbufu mkubwa
 
TANESCO Kilimanjaro wilaya ya Rombo ,huduma wanayoihitaji wajeta haiendani na mahitaji na matarajio ya wateja wenu,hasa wale wanaohutaji huduma ya kuunganishiwa umeme.
 
Naomba kuuliza Tanesco siku hizi hakuna kupunguza matumizi ya umeme, maana nimejaribu kufuatiria huku wilayani kweni naambiwa blaa blaa nyingi,
me roho inaniuma jirani akinunu umeme wa sh,1000/= anapewa Unit 8, mimi kwa pesa hiyo hiyo napewa Unit 2.8, wakati miter yangu sio ya kibiashara, sina Tv, sina frige, sina pasi ya umeme, zaidi tu ni taaa za ndani ambazo huwaka usiku tu na hazizidi 4.
 
Tafadhali onesha namba ya mita kwa maelezo sahihi
 
TANESCO Kilimanjaro wilaya ya Rombo ,huduma wanayoihitaji wajeta haiendani na mahitaji na matarajio ya wateja wenu,hasa wale wanaohutaji huduma ya kuunganishiwa umeme.
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
 
Ndugu Mteja
Tumekupigia simu kwa namba iliyopo kwenye taarifa yako haipatikani, Tafadhali tujulishe namba ya kuwasiliana na wewe kwa huduma bora
Ahsante
 
TANESCO Kilimanjaro wilaya ya Rombo ,huduma wanayoihitaji wajeta haiendani na mahitaji na matarajio ya wateja wenu,hasa wale wanaohutaji huduma ya kuunganishiwa umeme.
Aiseee Acha kabisa hawa jamaa bure
Sana Kwanza ukianzia office Yao ya tarakea
N vituko kama mm nmelipia nguzo mbili mpaka Leo cjaona umeme mwez wa 5 sasa unaenda kuisha tangu nmelipia ukifwatilia unaambiwa nguzo nguzo yani et material hakuna kila siku
 
kuna nguzo ya umeme umeungua na ni hatari na nguzo umeshika waya nyingi na pia kusaport nguzo zingine za umeme, mimi kazi yangu nikiona kibaya njiani natoa taarifa
 
-Mimi ni mkazi wa Mwanalugali( kiwanja cha hisia Kali) , karibu na Zahanati mpya ya Mwanalugali.kata ya Tumbi,wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani.

-Awali ya yote kwa niaba ya wakazi wa Mwanalugali tunatoa shukrani kwa TANESCO Kibaha, kuleta umeme kwenye Zahanati ya Mwanalugali

-Aidha wakazi wa Mwanalugali tunashukuru kwa kuletewa nguzo 9 kwa ajili ya Mradi wa umeme kwa wakazi wa eneo hili.

-wananchi wa Mwanalugali tunakiri kuwa kitengo Cha kuchimba na kusimika nguzo,kilisimika nguzo zote zilizoletwa tarehe 13July 2022.

-Suala ni lini kitengo cha kujenga/kutandaza waya kitakuja kumalizia kazi

-Wananchi wa Mwanalugali wanapongeza na kuishukuru Manajiment ya TANESCO Kibaha kwa hili.

Ushauri/swali/Ombi
1).Manejiment ya TANESCO Kibaha itume kitengo Cha kujenga nyaya kije kutandaza/kujenga nyaya ,kwa maana nyaya zipo site tayari.

2). Tunaomba Manejiment ya TANESCO Kibaha kumalizia kuleta nguzo zilizosalia kwenye Mradi huu( kuunganisha na Zahanati), ili wananchi wapate huduma ya umeme baada ya kulipia service line.

3). kama kitengo Cha kujenga nyaya,kina idadi ndogo ya mafundi,ni vema Manejiment ikaangalia uwezekano wa kuongeza manpower (rasilimali watu) na vitendea kazi.
 
Hatari hiyo[emoji134]
Ndugu Mteja!

Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:

Jina

Wilaya

Tatizo

Simu

Namba ya Mita

Namba ya taarifa/Ombi kama ipo

TANESCO Huduma kwa Wateja

0748550000

Makao Makuu
 
Ndugu Mteja

Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000
 
Ndugu Mteja
Tumekupigia simu kwa namba iliyopo kwenye taarifa yako haipatikani, Tafadhali tujulishe namba ya kuwasiliana na wewe kwa huduma bora
Ahsante
TANESCO asante sana kwa kushughulikia swala langu! leo mafundi wenu wamenipigia na wamekuja kubadilisha nguzo japokua bado hawajafunga waya ila nina matumaini kesho watakamilisha kazi.
 
Je wlioko ndani ya manispaa au mijini hawawezi pata unit 8 kwa 1000/=?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…