Tafadhali fanya malipo ya ombi husika kwa kupitia control number 991033720863 ili sasa tukuunganishie umeme

Ahsante
Ndugu Mteja, Malipo yako ya kuunganishiwa umeme yamepokelewa kikamilifu,taratibu za ujenzi wa umeme zinaendelea.TANESCO
 
Habari!!? Jana nilipata bahat ya kuwekea umeme kwangu lakin wakati wanamaliza kuniekea kwa bahat mbaya umeme ulikatika kwahiyo waliweka ivyo ivyo!

Lakin mafundi walinionesha jinsi ya kuingiza zile token kwenye ile remote yangu na baada ya muda umeme kurudi nikafanya ivyo na ikakubali na umeme ulikuwepo kwangu lakin ikafika kma dakika 3 iv ukazima kwangu kila nikiwasha wapi!! Nikiaangalia pale kwenye main switch pako vizuri hakuna hata kimoja kilicho trip vote vipo on na socket bleaker nayo ipo on lakin ile remot yangu inaandika P cut

Nanitaji msaada hapo nipo morogoro
 
Nilitaka kumnunulia mteja wangu umeme badala ya 1000 nikamnunulia 10,000 naomba kujua kama naweza kubadilisha hizo token kwenda kwenye mita nyingine au kurudisha pesa.
Mbona tanesco hamnijibu hili
 
Mgawo huu mkubwa Arusha sasa ni rasmi?
Kila siku Arumeru kuanzia saa3 asubuhi hadi jioni mnakata umeme...kwanini?
 
Morogoro manispaa umeme mmekata asubuhi tatizo nini wazee mbona mnakuwa ivyo Tanesco
 
Ndugu Mteja!

Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:

Jina

Wilaya

Tatizo

Simu

Namba ya Mita

Namba ya taarifa/Ombi kama ipo

TANESCO Huduma kwa Wateja

0748550000

Makao Makuu
 
@TANESCO TANESCO ombi langu bado jaman

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Kmekuwepo na kukatwa kwa umeme kila siku kuanzia saa 12 ashbuhi hadi saa 12 jioni kila siku kwenye eneo letu.

Kukatwa huku kwa umeme ambako ni zaidi ya miaka 3 sasa, siyo tu kunaturudisha nyuma kimaendeleo bali kunatutia hasara.
Mkoa: Kilimanjaro

Eneo: Mamba kusini
Mtaa: Kiria-kuanzia Rauya hadi ushirika
 
Tanesco ukataji umeme Hi ni too much,

Hongereni kwa kazi nzuri ya kukata umeme bila mpangilio,
 
TANESCO nimeomba kuunganishiwa umeme kupitia app yenu ya niconnect, pale kwenye status progress panasoma "instillation complete, your meter number is *********". Na kwengu hamjaja kuunganisha, hii Ina maana gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…