Umefanyaje mkuu namimi tangu Jana nimeshindwa Kununua umeme Kwa simu ..napewa meseji ya kubadili sijui "key change"

Kila nikipiga namba ya Tanesco nilopewa haipatikani
Msaada....
Nimenunua Kwa kutumia NMB mobile app
 
TANESCO ni [emoji1005] [emoji706], nchi inayotaka maendeleo mnakata umeme siku nzima, [emoji1005] kabisa.
 
Kuna mtu kajenga nyumba bado haijaisha kwa ndani na hakuna aliehamia tayari wameweka umeme kupitia nguzo ya jirani hapa, sa sijui vitu hivi vinakuwaje[emoji2]
Una maanisha hakutakiwa kuwekewa umeme kupitia hiyo nguzo au ?
 
Namba yetu ni 0748550000, je ukiweka umeme unapata ujumbe gani tadhali
Jamaa yangu kanunua umeme jana,kila akiingiza namba za token matokeo ni zero point zero... Mpaka sasa hana Umeme, tatizo ni nini?
Yupo Mbeya mjini maeneo ya Veta
 
Salaam
Mimi naishi ughaibuni sitaki kutaja wapi nipo lkn ikibidi nitataja ,sijui TANESCO wana utaratibu gani kuhusu UMEME.Huku ninakoishi umeme haukatwi ni nchi ya joto sana sana lkn umeme haukatwi na maji yapo 24/7.Nashangaa kwetu sijui tatizo ni lipi au kitu gani .Nishati za umeme zipo nyingi tu Je Tanesco munazitumia zote hizo nishati za umeme .Kwa Tanesco muna udhi sana sana kukata umeme bila taarifa bila ya umeme mbadala ,niliwahi kuona mara moja walikuja kubadilisha Tranformer hapa ninapoishi basi naam kabla ya kutukatia umeme walikuja na mgari mkubwa ambao una Generetor ndani wakawasha generetor lao ndio wakatoa Transfomar yao na sisi hata hatukujua kama umeme umekatwa .Huku nimeona kila wilaya kwa mfano ina greed yake pamoja na maji yake .Ukitaka nchi yako iwe na maendeleo basi uwe na ENERGY ya kutosha.

Maji ya kutosha na barabara za kutosha bila hivo vitu ni ndoto kupata maendeleo special umeme na vyote. Dunia ya leo umeme ni out of quesition tuko ktk Dunia ya Sayance and Technology.

Nashangaa eti nyumbani ikinyesha mvua eti umeme unazimwa vichekesho sana. Tanesco njooni Dubai Musome shirikianeni muatapata faida sana kwa hawa jamaa inafaa Wizara hukusika leteni watu wenu waje waone maendeleo na wigo wa hawa jamaa wapi wametoka na wapi wanakwenda mutakuja kunishukuru.
 
Reactions: ADK
TANESCO kuna tatizo gani la kiufundi limetokea? Kwani maeneo ya Mbezi Beach hakuna umeme toka saa tatu asubuhi mpaka muda huu. Naomba kufahamishwa tafadhari.
 
TANESCO kuna tatizo gani kwenye manunuzi ya luku?
Siku chache zilizopita mlikuwa mkizima mfumo ili kufanya mlichoita matengenezo ya kinga.Sasa mmekinga nini?mbona mfumo umepote hewani now?hivi hili shirika lina nini aisee?!
 
TANESCO kuna tatizo gani kwenye manunuzi ya luku?
Siku chache zilizopita mlikuwa mkizima mfumo ili kufanya mlichoita matengenezo ya kinga.Sasa mmekinga nini?mbona mfumo umepote hewani now?hivi hili shirika lina nini aisee?!
Hawajibu huku labda uwapigie sim, huenda kitengo cha huku anayehudumia yupo likizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…