Fanyieni Kazi kweli,hii habari yw umeme leo upo kesho haupo iishe kama leo Mkuyuni tumeshinda umeme hakuna,umeme umerudi saa 1 kesho umeme utakuwepo lakini keshokutwa hauta kuwepo,mtuambie shida ni niniMpendwa mteja ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, poleni sana kwa adha hio Tumepokea taarifa za changamoto ya umeme kwa baadhi ya maeneo ya mkoa wa mwanza , Tunawaomba radhi kwa adha yeyote mliyopitia wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kutatua tatizo
TANESCO Huduma Ndugu Mteja.kwa Wateja
0748550000^EB
Mkoa was Tabora Tang saa 8 mchana mpaka saa 12 asubuhi hatuna umemeMpendwa mteja Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu,poleni sana kwa adha hio mnayopitia kwa sasa. tafadhali tunaomba kujua ni eneo gani mnakosa huduma kwa sasa ^EB
Huu sasa si mgao tena, hii ni operesheni kata kata. Yaani kama tupo Syria au AfghanistaniSemeni kama kuna mgao mbona mnakera sana, maisha magumu na umeme kero tu, semeni tuhamie burundi
Hamko serious kabisa, wengine tunaingia wiki ya nne, karibu ila siku tunashinda bila umeme. Ukiwauliza mara tunabadilisha nguzo tunaweka za zege, na huoni hizo nguzo zinazobadilishwa, mnakera sana.Mpendwa mteja Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu,poleni sana kwa adha hio mnayopitia kwa sasa. tafadhali tunaomba kujua ni eneo gani mnakosa huduma kwa sasa ^EB
Wengine tunaogopa kupigwa ban tu, ila nyie ni bure kabisa kuanzia kwa huyo Waziri wenu kanjanja. Sisi ngozi nyeusi ubinafsi unatumaliza.Mpendwa mteja ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, poleni sana kwa adha hio Tumepokea taarifa za changamoto ya umeme kwa baadhi ya maeneo ya mkoa wa mwanza , Tunawaomba radhi kwa adha yeyote mliyopitia wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kutatua tatizo
TANESCO Huduma Ndugu Mteja.kwa Wateja
0748550000^EB
Yaani inasikitisha, nilifikiri ni kwa sisi wa mikoani. Kuna siku wanakata umeme saa 12 kasoro asubuhi, wanarudisha jioni kabisa. Baada ya hapo ni kata washa kila baada ya dakika 1 au 2. Yaani hata king'amuzi hakijamaliza kuapload wanakata tena. Inakwenda hadi saa mbili kasoro au saa tatu na kitu usiku ndio unastabilise. Asubuhi tena wanaanza nao, kwa wiki wanaweza kuwaachia siku 1 au 2 bila kukata, hizo siku nyingine ni kujipanga mapema.TANESCO leo Kimara mwisho ni kuzima na kuwasha umeme kama vile kuna mtoto huko kwenye switch yenu anachezea.
Uchumi huu ulivyo mgumu halafu mnakata tena
Mpendwa mteja poleni sana kwa changamoto hio mnayopitia kwa sasa, tafadhali tunaomba kujua ni mkoa,wilaya, eneo gani mnakosa huduma ^EBYaani inasikitisha, nilifikiri ni kwa sisi wa mikoani. Kuna siku wanakata umeme saa 12 kasoro asubuhi, wanarudisha jioni kabisa. Baada ya hapo ni kata washa kila baada ya dakika 1 au 2. Yaani hata king'amuzi hakijamaliza kuapload wanakata tena. Inakwenda hadi saa mbili kasoro au saa tatu na kitu usiku ndio unastabilise. Asubuhi tena wanaanza nao, kwa wiki wanaweza kuwaachia siku 1 au 2 bila kukata, hizo siku nyingine ni kujipanga mapema.
Hivi we jamaa ni mgeni Tanzania ?!!!!Mpendwa mteja Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu,poleni sana kwa adha hio mnayopitia kwa sasa. tafadhali tunaomba kujua ni eneo gani mnakosa huduma kwa sasa ^EB
Unaamini huu ujinga... watu wanauza mafuta kwemye Majenereta ya Minara na MakampuniNa huu ukame waache waweke mitambo sawa masika yakianza uwe ON muda wote