Naomba kujua MFUMO WA SHERIA WA FIDIA KWA WAATHIRIKA WA AJALI ZA UMEME TANZANIA BARA.
 
Help me on this “THE LEGAL FRAMEWORK FOR COMPENSATION OF VICTIMS OF ELECTRICAL ACCIDENTS IN TANZANIA MAINLAND”
 
Sasa hivi umeme umekata. We enjoyed uninterrupted power supply for three or so days.

Leo mmeona msituzoeshe, mmekata umeme.
 
Habari za muda huu wanaharakati wenzangu, kwa wale waliofanikiwa kufanya ujenzi na kukamilisha au waliofungua biashara na wakaweza kumiliki mita zao ili kuepuka mizozo ya kulipia umeme tunaomba mtujuze utaratibu upoje?
 
Download app yao ya NikoNect then Anza kujaza maombi yako ambapo utaonesha site ilipo, Mtaa/Wilaya n.k

Pia utasema kama unaomba mita kwaajili ya Kiwanda ama Matumizi ya kawaida Kwa maana zipo mita za 3-phase na 1-phase

Utalazimika kuambatisha taarifa ya ukaguzi ya Mkandarasi wa Umeme aliyesajiriwa ili akugongee mhuri kwenye application form zao.

Wengine wenye maelezo zaidi wanaweza kusaidia

CC TANESCO
 
Fanya Wiring Kwa Fundi Anayejulikana Na Tanesco
Chukua Form Tanesco Aijaze Vema Unairudisha Kwao
Utapewa Surveyor Atakwenda Kuona Eneo, Na Kufanya Makadirio Endapo Kunahitajika Nguzo Ama Laa. Urefu Wa Wire Na Sehemu Ya Kuweka Blackett Endapo Ni Lazima


Baadaye Utapewa Control Number, Unalipa Halafu Unawekewa Umeme


CC:Tanesco
Tunayaangaza Maisha Yako
 
Ahsante sana, na je kawaida malipo huwa ni kiasi gani?
 
Umeme umekatika nyumbani kwetu tu, baada ya kucheza cheza kwa muda. Mikocheni karibu na fiveways bar. Namba ya taarifa ni 6071400. Tafadhali saidia.
 
Hebu twambieni nyie Tanesco huu ngao hapa Kibong'oto utaisha lini? hii ni hospital ya TB imezungukwa na raia lakini umeme ni tatizo tunaupata kwa mafungu, unaamka asubuhi umeme upo baada ya masaa 2 mnazima unarudi alasiri saa 9 ikifika saa 3 usiku mnazima shida nini? hivi mnajua kadhia tunayoipata katika kuandaa na kusoma vipimo. basi njooni mtoe hizi nguzo zenu, maana mmeshindwa kutuhudumia ni kero tupu
 
Msaada umeme ulikatika baadaya ya kurudi umeme ukawa unaishia kwenye mita nikapiga simu wakaniahidii fundi atakuja lakini mpaka xaxa hamna hata fundi aliyefika leo siku ya tatu naomba msaada wa tatizo hilo##Ticket-6162199##
 
Msaada umeme ulikatika baadaya ya kurudi umeme ukawa unaishia kwenye mita nikapiga simu wakaniahidii fundi atakuja lakini mpaka xaxa hamna hata fundi aliyefika leo siku ya tatu naomba msaada wa tatizo hilo##Ticket-6162199##
Nunua Sola tu, Hawa TANESCO ni wahujumu uchumi tu kama wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…