Tanesco hivi shida nini mita yangu kila inapofika saa 1 jioni inazima mpaka saa 2 usiku

Yani Kiufupi mita yangu tangu tupitie kile kipindi cha mgao mkali wa umeme imekuwa inasumbua sana yani unaweza kuta nyumba za majirani ambao tunatumia nguzo moja umeme upo ila kwangu hakuna.

Yani umeme umekuwa unazima tu na kuludi bila sababu ila ikifika uo muda wa jioni ndo lazima izime yani kila siku mpka imekuwa kero TANESCO
 
Nenda tanesco tawini hapo kwako chukka vijana wakaangalie mita...mita inashida
 
Naomba kuelekezwa jinsi ya kulipia ile sh 27000 kwa M-pesa ili mniunganishie umeme please wakuu. Nimekwama hapo tu hatua na taratibu zingine tayari.
Natanguliza shukurani.
 
Arusha, Maeneo ya USA River, Maji ya Chai, umeme mdogo. Nashindwa kuwasha TV kufuatilia yanayojiri huko Sheikh Amri Abeid 🤔
 
Swali langu Kwenu ni moja tu.
Hivi kuna siku mtapata ujasiri wa kutangaza mwisho wa mgao wa umeme?
 
Hivi leo kunani lakini…?! From midnight until now hatupati umeme wa uhakika. What’s PROBLEM katika shirika la umeme Tanzania (TANESCO) na this issue ni Dar es Salaam tu au kwa taifa lote? 😩
 
Hivi leo kunani lakini…?! From midnight until now hatupati umeme wa uhakika. What’s PROBLEM katika shirika la umeme Tanzania (TANESCO) na this issue ni Dar es Salaam tu au kwa taifa lote? 😩
Vumilia ndiyo umeme wa CCM huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…