Ina maana huyu aliyeniambia kuwa ukilipia kuwekewa umeme na TANESCO haipiti hata wiki alinidanganya!?
Doooh!!!

Nilikuwa sina hata mpango na umeme, kweli aliyesema za kuambiwa changanya na zako hakukosea!!!
 
Narudia tena, siamini, siamini kama Taifa letu, liko hivyo kwamba TEKNOLOJIA hiyo hatuna, uharaka huo hatuna, vijana wapo , wamesoma WAPEWE nafasi watatenda kwa haraka.
Hapa umeongea kwa Hasira sana mkuu, kwa hio kule TANESCO wewe umekuta Wazee tu na hawajasoma kwa hio wanafanya kazi km Kobe au Vinyonga hawana haraka na wale Vijana wanaofunga Nguzo ni wa wapi?
 
Tanesco wapeni taarifa TTCL kuna miundombinu yao inaharibiwa hapa Nyerere road karibu naToyota, kuna jengo linalojengwa hapa, zamani QUALITY CENTER GROUP.
 
Ombi: Tupeni taarifa kabla hamjakata umeme tujiandae. Na mmezidi kukata umeme maeneo ya Kunduchi kiasi kwamba mnatuumiza wauza samaki.
 
Habari tanesco. Kunduchi hatuna huduma yenu tangu asubuhi. Kama Kuna changamoto tujulisheni.
 
Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;

1. ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)
 
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tufahamishe kama bado unakosa umeme kwa msaada zaidi.^SM
 
TANESCO HABARINI ZA SAIZI

KUNA HUYU BWANA KIBAHA ANAITWA EMMA

na eng wake chachaaaaaa wa kibaha

TUMEMLETA KWA MATHIAS KASHAURI VYOTE VYAKUFANYA ANA WIKI YA NNE ANASEMA NGUZO HAZIJAWA REGISTERED

SAWA ENG WAKE AKIPIGIWA ANASEMA ANASHANGAA KWA NN APOKEI SIMU
HATA YEYE AMPOKELEI

MAKAO MAKUU HUU SI MDA WA KUCHAFUANA MWAMBIEN ANALETA UMEME MAKIRIRKIRI AMA LAH

NO YAKE N

0653 146376
 
TUNAOMBA UMEME WETU TAFADHALI KIBAHA TUMECHOKAA
 
991035791598
Nimelipia tangu 05/06/2025
Kigamboni hadi sasa ...nikienda ofisini naambiiwa vifaa hiki kipo hiki hakipo....mara subiri utapigiwa...
Muda unapotea tu
 
Sahau kaka......mimi nilikosea kwenye mita namba badala ya kununua umeme kwenye mita namba mpya nkanunu kupitia mita namba ya zamani.

Kwenda tanesco iliyokaribu yangu wakasema mita no....ishafungiwa na kurudishwa mkoani,sasa nikawauliza mbna nmelipia na haikugima kama imefungiwa...!! Na tokeni nmepata.

Mara ooh andika barua...watumie makao makuu,nikaandka nikatuma adi leo hii kimya na karibia mwaka unaisha hakuna jibu lolote......laki 2 ya kampuni ikawa imeenda kwa staili hyo
 
TANESCO, kuna taarifa za mita kuungua na watu wenu wa dharura walishafika eneo la tukio lakini kitengo cha mita hakijatoa huduma yapata masaa tisa tangu taarifa itolewe.

TANESCO Naomba kujulishwa upatikanaji wa mita na kufungiwa ni huduma inayochukua masaa mangapi ili kuchukua tahadhari za uharibifu Kwa kutokuwa na umeme
 
Tabata mmekata umeme, shida nini
 
TANESCO KUBAHA TU EWAKOSEA NN KWANI MBONA HIVYO

KUNA SEHEMU TUMEJENGA TUMEFQNYQ PRICESURE ZOTE TUKAAMBIWA TULIPE KIASI KADHAAA CHA KULETEWA NGUZO MBILI NA UMEME

AJABU WIKI YATATU SASAA HAWA NDUGU ZANGU MNAWATESAAAA KWANI KUNA SHORTCUT ZA ZIADA MTUAMBIE TUSICHOSHANEE

N KIBAHA KWA MATHIAS NJIA YA KWENDA NYUMBA KARIBU NA NYERERE OFFICERS MESS

EMBU MTUJIBU
 
HIZI NAMBA MNAZOT
UPA N KAMA HAZINA MSAADA KUNA BAADHI TUNAOIGA KAMA TUNAONBA UNYUMBA MASAA AWAPOKEI

NAWAKIPOKEA UKIULIZA WANAKULIZIA JINA WANAKWAMBIA TUNALIFANYIA KAZI

IMEKUWA MAHAKAMANI

""UCHUNGUZI unaendeleaaa'x

JAMANI

EMBU WAPIGIEN HAWA WAHUSIKA WANATESEKA NA WANA MZEE WA MIAKA 86 ANAKAA GIZANI NA AMELIPA KILA KITU

0746740448
0776740448

M NIRANI YAO TU NA WALIPOTOKA WAMEHAMIA HUKO KIBAHA
 
Habari,
Nilifanya maombi ya umeme tarehe 22.08.2025
Eneo Chalinze,Pwani.
Namba ya ombi Na.220825-1145

Surveryor alifika tarehe 28.08.2025
Naombeni control number ili niweze kulipia.
Ama naomba nifahamishwe inachukua muda gani hadi namba ya malipo kutoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…