Serikali inahamasisha matumizi ya nishati safi lakini TANESCO mnaihujumu serikali kwa kukatakata umeme tena mida kama hii tuko jikoni tunapika. Radiant cookers na induction cookers zinahitaji umeme na mnapokatakata umeme mnatuharibia majiko yetu.
TANESCO kuweni serious, karne ya 21 bado umeme mnakatakata!!!