TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

shida kubwa ni uwelewa watanzania bado wameshindwa kutofautisha magao na hitilafu .
hivi vitu viwili naona vinawachanganya bado
Hivi bado kerne hii unamlaza mtu bila umeme kwa masaa zaidi ya 12
Watu watafanyaje kazi zao

Ova
 
mafundi hawalali wanashuhulika sana ni vile hamuelewi tuh...shirika la umeme halipendi kuwakwaza wateja wake kamwe
 
Nitajaribu kukujibu samahani lakini,
Upungufu unatokana na uwezo mdogo wa uzalishaji.
Mgao unatokana na maamuzi tu kwasababu zao wanazozijua wao wenyewe.wapi tuwashe au wapi tuzime.
Chanzo cha kuanza kupanga wapi uwashe na wapi uzime ( mgao) ni nini? Ni kwanini usiache wote wawe na umeme?
 
Hitilafu ya masaa 12 kila baaada ya siku 3.. Crazy only in Tanzania
ndugu mitambo inaweza kutokusomana hata kwa mwezi mzima... kikubwa kikosi cha watalamu kiko kazini

namatengenezo yanakwenda kwa mchakamchaka wa hali ya juu.
 
Hujui unachoongea boss.

Ebu siku moja jaribuni kudhani kuwa mnaongea na kina Edson, pengine mtakuwa rational kwenye reasoning yenu
 
hili shirika siku likibinafsishwa nitafurahi sana
Sisemi liibinafsishwe la hasha lipate mpinzani kama yalivyo makampuni ya simu za mikononi
Ukiona Tanesco haiendi sawa unahamia halotel
Hapo kazi itafanyika Kwa weledi sana
 
Hujui unachoongea boss.

Ebu siku moja jaribuni kudhani kuwa mnaongea na kina Edson, pengine mtakuwa rational kwenye reasoning yenu
utatuzi wa hitilafu hufanyika kwa masaa ili kutoadhiri eneo kubwa katika usambazaji ndugu .hili swala liko kitalamu sana ni ngumu kukufafanulia kwa reply moja
 
Chanzo cha kuanza kupanga wapi uwashe na wapi uzime ( mgao) ni nini? Ni kwanini usiache wote wawe na umeme?
Ahaaa mkuu, tafsiri yangu nimeitoa kwakuzingatia lugha ya kiswahili (tofauti kati ya mgao na upungufu) kuhusu mgao wa umeme sababu wanaijua Tanesco.
 
ndugu mitambo inaweza kutokusomana hata kwa mwezi mzima... kikubwa kikosi cha watalamu kiko kazini

namatengenezo yanakwenda kwa mchakamchaka wa hali ya juu.
Acha kutugeuza mazuzu wewe! Kama na ww ni mnufaika wa mgao, usituhadae hapa!!!!
 
Tanzania ya bi tozo hii ya hovyo sana yeye anapokaa umeme haukatiki tulipo sisi maskini tunakatiwa kila muda
 
Back
Top Bottom