TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

Chonde wapendwa shirika libinafsishwe .sisi wazawa limetushinda.aje mzungu au mtu mwenye mahela yake aendeshe shirika.,sisi wazawa sio waminifu.,na hatufanyi kazi kwa utashi.au lije shirika lingine angalau yawe mawili hawa wakisumbua unahamia kwingine
 
ndugu mitambo inaweza kutokusomana hata kwa mwezi mzima... kikubwa kikosi cha watalamu kiko kazini

namatengenezo yanakwenda kwa mchakamchaka wa hali ya juu.
Kwa sababu hujui taaluma za watu humu ndani kawaambia watoto wa darasa la pili C haya mambo. Au hawa hapa chini
Screenshot_20230918-210933.jpg
...
 
Ahaaa mkuu, tafsiri yangu nimeitoa kwakuzingatia lugha ya kiswahili (tofauti kati ya mgao na upungufu) kuhusu mgao wa umeme sababu wanaijua Tanesco.
Mgao wa umeme by definition ni kugawa umeme sababu ya upungufu wa umeme. Kwahiyo ukisema una mgao, maana yake una upungufu, na ukisema una upungufu means kuna mgao. Its common sense.
 
utatuzi wa hitilafu hufanyika kwa masaa ili kutoadhiri eneo kubwa katika usambazaji ndugu .hili swala liko kitalamu sana ni ngumu kukufafanulia kwa reply moja
Usinifafanulie, nitajie tatizo tu inatosha mimi kuelewa shida iko wapi! Ukiwa unanipa hilo tatizo, zingatia majibu ya maswali haya;
  • Installed capacity
  • Active units(capacity)
  • Max demand ya nchi

Utanijuza pia kwa uwiano, staff mmoja anazalisha unit ngapi kwa siku
 
Maharage anaweza kuwa ni mchapa kazi mzuri (sina uhakika kilichomweka hapo) lakini siyo msemaji mzuri na hajuwi kujieleza.

Nakumbuka zamani, enzi za Kikwete kama siyo TANESCo basi wizara ya nishati na madini ilikuwa na msemaji mmoja mtoto wa kike, Badra Masoud, alikuwa anajuwa kufikisha ujumbe, tena wakati huo ndiyo ilikuwa tuna shida kweli ya umeme lakini alikuwa akifikisha ujumbe anaeleweka.

1695061455080.png
 
ndugu mitambo inaweza kutokusomana hata kwa mwezi mzima... kikubwa kikosi cha watalamu kiko kazini

namatengenezo yanakwenda kwa mchakamchaka wa hali ya juu.
Upungufu wa umeme unaopelekea mgao wa mara kwa mara katika baadhi ya Mikoa ya nchi hiyo?
 
Mgao wa umeme by definition ni kugawa umeme sababu ya upungufu wa umeme. Kwahiyo ukisema una mgao, maana yake una upungufu, na ukisema una upungufu means kuna mgao. Its common sense.
Labda yeye anakijua kiswahili zaidi ndio maana amejitokeza si kwaajili yakutoa sababu bali kwaajili yakukosoa lugha inayotumiwa na walalamikaji.
 
Tanesco hasa Da res Salaam ni uozo mtupu ukiomba luku yaani wanaringa utadhani unapewa bure utazungushwa wee hadi utoe kitu kidogo.
 
Tanesco hasa Da res Salaam ni uozo mtupu ukiomba luku yaani wanaringa utadhani unapewa bure utazungushwa wee hadi utoe kitu kidogo.
Hivi Chalamila Yuko humu?
TANESCO ,DAWASA na MWENDOKASI Ni mumiani hapa Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom