Hivi bado kerne hii unamlaza mtu bila umeme kwa masaa zaidi ya 12shida kubwa ni uwelewa watanzania bado wameshindwa kutofautisha magao na hitilafu .
hivi vitu viwili naona vinawachanganya bado
Hitilafu ya masaa 12 kila baaada ya siku 3.. Crazy only in Tanzaniashida kubwa ni uwelewa watanzania bado wameshindwa kutofautisha magao na hitilafu .
hivi vitu viwili naona vinawachanganya bado
mafundi hawalali wanashuhulika sana ni vile hamuelewi tuh...shirika la umeme halipendi kuwakwaza wateja wake kamweHivi bado kerne hii unamlaza mtu bila umeme kwa masaa zaidi ya 12
Watu watafanyaje kazi zao
Ova
mafundi hawalali wanashuhulika sana ni vile hamuelewi tuh...shirika la umeme halipendi kuwakwaza wateja wake kamweHivi bado kerne hii unamlaza mtu bila umeme kwa masaa zaidi ya 12
Watu watafanyaje kazi zao
Ova
Chanzo cha kuanza kupanga wapi uwashe na wapi uzime ( mgao) ni nini? Ni kwanini usiache wote wawe na umeme?Nitajaribu kukujibu samahani lakini,
Upungufu unatokana na uwezo mdogo wa uzalishaji.
Mgao unatokana na maamuzi tu kwasababu zao wanazozijua wao wenyewe.wapi tuwashe au wapi tuzime.
ndugu mitambo inaweza kutokusomana hata kwa mwezi mzima... kikubwa kikosi cha watalamu kiko kaziniHitilafu ya masaa 12 kila baaada ya siku 3.. Crazy only in Tanzania
Hujui unachoongea boss.ndugu mitambo inaweza kutokusomana hata kwa mwezi mzima... kikubwa kikosi cha watalamu kiko kazini
namatengenezo yanakwenda kwa mchakamchaka wa hali ya juu.
Sisemi liibinafsishwe la hasha lipate mpinzani kama yalivyo makampuni ya simu za mikononihili shirika siku likibinafsishwa nitafurahi sana
utatuzi wa hitilafu hufanyika kwa masaa ili kutoadhiri eneo kubwa katika usambazaji ndugu .hili swala liko kitalamu sana ni ngumu kukufafanulia kwa reply mojaHujui unachoongea boss.
Ebu siku moja jaribuni kudhani kuwa mnaongea na kina Edson, pengine mtakuwa rational kwenye reasoning yenu
Ahaaa mkuu, tafsiri yangu nimeitoa kwakuzingatia lugha ya kiswahili (tofauti kati ya mgao na upungufu) kuhusu mgao wa umeme sababu wanaijua Tanesco.Chanzo cha kuanza kupanga wapi uwashe na wapi uzime ( mgao) ni nini? Ni kwanini usiache wote wawe na umeme?
Wangese sana hawa ubwaWanatudharau sana sisi wateja wao
. Hovyooooo...
Acha kutugeuza mazuzu wewe! Kama na ww ni mnufaika wa mgao, usituhadae hapa!!!!ndugu mitambo inaweza kutokusomana hata kwa mwezi mzima... kikubwa kikosi cha watalamu kiko kazini
namatengenezo yanakwenda kwa mchakamchaka wa hali ya juu.
Mbona wakati wa Uncle hatukuona upuuzi wenu huu? Pigeni hela tu, mmepewa upenyo mlioutamani kwa miaka!utatuzi wa hitilafu hufanyika kwa masaa ili kutoadhiri eneo kubwa katika usambazaji ndugu .hili swala liko kitalamu sana ni ngumu kukufafanulia kwa reply moja