chapachapa
Member
- Jan 14, 2013
- 93
- 21
"Huenda" zimekuwa nyingi ni vyema wakatoa tamko ijulikane.Pia naona kuna nguzo nyingi mpya zinabadilishwa mtaani hasa njia kubwa. kuna nguzo za cement zimesimama huenda wanabadili nguzo
Tumeshajua kama kuna mgao, tunataka kujua utaisha lini hatuhitaji kuongeza degree ili tupatiwe taarifa za mgao mgaoMimi sio msemaji wa TANESCO wala EWURA lakini haiitaji degree mbili kupata jibu la swali lako. Lakini kama nilivosema hapo hawali, ngoja wasemaji wenyewe waje. TANESCO