TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwawa la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa

aliyeandika hii taarifa ni kiazi, na kama md wa tanesco naye kaipitia kabla haijatolewa, md naye ni kiazi++
 
Watakuja na ufafanuzi wa ufafanuzi huu wacha tusubiri
 
Taarifa haijitoshelezi...wamejibu kisiasa
 
JF 'mtaua watu kwa pressure''. Jumapili wamekaa kikao wakiwa wamechanganyikiwa
Hawajakanusha kuhusu nyufa, wanatueleza kuhusu watalaam. Kwani nani alisema watalaam ni 'mama ntilie''

JokaKuu
 
Mbona hawajakanusha sasa kuhusu uwepo wa nyufa? Porojo tu.....
 
..contractor na consultant wa mradi wanatakiwa kutoa maelezo.
Exactly

Na hapa ndipo tunaona incompetence ya Watanzania. Yaani Tanesco hawajui wajibu wa contractor na Consultant

Barua imejaa hadithi zisizohusiana na swali. Je kuna nyufa kama ilivyosemwa?
 
Tanesco wanasema kuna watalaam kutoka ndani na nje ya nchi waliobobea! Hili linatusaidiaje kujibu swali.
Mradi umefikia 92 %, hivi hizi si namba tu mtu anaweza kusema, je zinaeleza ubora wa kazi

Ukisoma barua nzima, kwanza imeandika katika ubora hafifu sana

Maudhui ya barua anaonyesha kuna kitu kinafichwa! na swali linabaki pale pale, je kuna nyufa?

Ili kufanya damage control iliyotokana na barua , mkurugenzi akiwa na contractor na consultant wafanye press conference. Kuna tatizo ima la nyufa aua mawasiliano lakini kuna tatizo linafichwa.

Kuna tatizo linafichwa

Pascal Mayalla JokaKuu
 
Huu ufa ni mkubwa sana.. watoe maelezo vizuri..
 

..Na mradi ukifika 92% maana yake kazi zote kubwa zimeshafanyika, kilichobaki ni marekebisho ya hapa na pale.
 
..Na mradi ukifika 92% maana yake kazi zote kubwa zimeshafanyika, kilichobaki ni marekebisho ya hapa na pale.
Kwa maana kilichobaki ni kuangalia mifumo kama ya maji taka, maji safi, umeme, barabara za kuzunguka mradi n.k.

Kazi kubwa ya tuta, bwawa na mitambo imekamilaika. Hizi nyufa zipo? Mbona Tanesco wanatoa hadithi badala ya habari? Kuna kitu kinafichwa lakini ni suala la muda tu.

Tanesco wakumbuke mkataba wa Bandari ulikuwa katika makaratasi seuse nyufa kama zipo
 
Kwa hiyo hizo nyufa zinazosemwa zipo au hazipo maana taarifa haijazigusia hizo na ndiyo concern ya watu
Yaani kuwe na nyufa na lita bilioni 14 nyufa zihimili??? huo ni uzito mkubwa sana kama nyufa zingekuwepo ni dhahiri lingepasuka....
 
Mkuu achana na hao matade wameshavimbiwa na asali ndio sababu wanaropoka ovyo
 
Doto awe mkali na hawa jamaa vinginevyo watamchezea sana..

Tunashukuru ile kauli yake "watanzania wanataka umeme"..tangu aseme hayo maneno huku tuliko sisi umeme tangu walivorudisha jumamosi usiku hawajakata tena hadi sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…