Tetesi: TANESCO yadaiwa kusitisha malipo ya mwezi kwa IPTL na wengineo

Status
Not open for further replies.
Kama ni kweli ngoja nikaagize makontena 5 ya mishumaa chaina,
hii fursa si ya kuiachia kamwe
 
Uko tayari kulala gizani? Hayo malipo sio msaada. Ni gharama ya huduma wanayotupatia...
 
you must be joking,aliyeileta iptl ni jk na ameshahakikishiwa kulindwa!
 
Ni Jambo Lililo Jema,ila Tuombe Wasije Wakatushinda Mahakamani Halafu Tukaishia Kulipishwa Mabilioni!
 
Hivi ndio vitu serikali isimamie hizo pesa zisaidie mambo mengine kwenye nchi, sio TRA kutafuta pesa kwa nguvu kulipisha wananchi moter vehicle ambazo hazitumiki.
 
Huyu ndio Magufuli wengine photocopy mdogo mdogo mtamwelewa tu.
 
Hivi jamani mtujuze huo mkataba IPTL unaishia mwaka gani....???

Maana hili dude IPTL nikilisikia tuu nahisi arufu ya kifo......
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Naungana na haya maamuz kwa asilimia Mia. Tena yalicheleweshwa. Na mkataba uvunjwe
 
Naungana na haya maamuz kwa asilimia Mia. Tena yalicheleweshwa. Na mkataba uvunjwe
symbion wao wana siku nasikia hawazalishi umeme,so kama ni kweli mitambo ya IPTL nayo itazimwa ,patakuwa na mgao kabambe wa umeme,tuombe tu mvue zinyeshe malambo ya umeme yajae maji
 
Mwinyi alishindwa!
Mkapa alishindwa!
Kikwete alishindwa!

Escrow wasubiri kiwembe
 
Wasiwasi wangu IPTL watafungua kesi halafu tutashindwa.lakini kwa kuwa bado ni tetesi wacha tusubiri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…