Tanga: Afisa Upelelezi ashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi

Una chuki za kifala sana wewe jamaa. Sasa wewe ukimchukia hayati ndio unapumbuza mema aliyofanya?
 
Hii katiba ya Sasa inaruhusu Hilo? HAUNA AKILI
 
Huyo huyo ndio wa.kubinya kende hadi awataje alikowapeleka wakishirikiana na huyo afisa wa ngazi ya Mkoa..
 
Hapo wote wanaopiga hizi kelele ni kwamba wanataka tu na wao waingizwe kwenye mgao, wakishapewa tu mgao wao, watamwachia na hutasikia kelele tena.
 
KUMBE POLISI NAO WANAFANYA MAKOSA NILIDHANI WANATII SHERIA BILA SHURUTI
 
Huyo watampoteza tu, Chini ya Kachero Mbobezi IGP WAMBURA ameisha huyo...! IGP WAMBURA alishawaasa hawa RPC na RCO wasije wakamlaumu
 
hizi Sheria zakutii wakubwa mbaya Sana hasa kwa nchi isiyostaarabika
 
Je!
OC/CID anastahili kuitwa kigogo wa jeshi la Polisi nchini?

Media zetu nazo ni kanjanja kanjanja mingi tu.
 
Acha uzushi wa kijinga. Kwani alipoingia gereza la butimba ilikua siri? Na wale waliyotoka ni siri? Kwani inahitaji rais kuingia gerezani kutoa wafungwa au ujinga unakusumbua?
 
Acha uzushi wa kijinga. Kwani alipoingia gereza la butimba ilikua siri? Na wale waliyotoka ni siri? Kwani inahitaji rais kuingia gerezani kutoa wafungwa au ujinga unakusumbua?
Kichwa chako ni mzigo kwa kiwiliwili chako. Hivi inaingia akilini kweli Rais wa nchi kuingia Gerezani kwa akili ya kutoa watuhumiwa? Kwa nini asingeacha mfumo wa Mahakama na Ofisi ya Mashtaka vifanye kazi?

Misukule ya Mwendazake inabisha hata vitu vya hovyo ambavyo Magufuli alifanya
 

23 October 2022
Tanga, Tanzania

Moto Wateketeza Ghala la Kuhifadhia Magendo , RC wa Tanga Afika Eneo la Tukio
Changamoto kibao zilijitokeza kwani funguo hazikupatikana la ghala kwa wakati. Ikabidi ukuta kuvunjwa ...
Source : millard ayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…