Tanga: Afisa Upelelezi ashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi

Siyo kwamba enzi za Magufuli kulikuwa hakuna uovu bali uovu mkubwa ulikuwa unafanywa na yeye mwenyewe na watu wake.

Mfano alipoingia Gereza la Butimba Mwanza na kuamuru wake walioshikwa na dhahabu waachiliwe.

Tumia akili unapoandika, Wacha kumuabudu Mwendazake
Una chuki za kifala sana wewe jamaa. Sasa wewe ukimchukia hayati ndio unapumbuza mema aliyofanya?
 
Sasa kosa lake ni lipi hapo? Si kila mtu anapokea maagizo kutoka Kwa wa juu yake?

Hebu tulete katiba mpya tuweke mifumo mipya ya taasisi zote kuondoa huu upumbavu wa maagizo, kila kitu kifuate sheria na katiba tu na siyo utashi wa mtu.

Kwahiyo Sasa mnaowalaumu Polisi ndio mjifunze hapa wao huwa wanapewa maagizo tu.
Hii katiba ya Sasa inaruhusu Hilo? HAUNA AKILI
 
Ni upigaji tu...
👇
=====

Mkinga. Ofisa upelelezi wa Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga, anashikiliwa na Polisi kwa madai ya kuwaachia huru watuhumiwa wa uhujumu uchumi.

Watuhumiwa hao wanadaiwa kukamatwa na mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya Sh1.2 bilioni.

Hayo yalisemwa juzi na Mkuu wa Mkoa Tanga, Omary Mgumba alipokuwa akitoa taarifa ya ziara yake ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo ya Serikali na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa kuhusu hatua zilizochukuliwa kwa watuhumiwa 24 waliokamatwa na magendo ya vitenge.

Mgumba alisema alishangazwa na hatua hiyo na alipofanya kikao na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, ndipo alibaini aliyewaachia huru watuhumiwa ni ofisa upelelezi wa Wilaya Mkinga aliyedai kupokea maelekezo kutoka kwa ofisa upelelezi wa mkoa (bila kutaja majina).

Alisema tayari ofisa huyo amekamatwa na yuko mahabusu uchunguzi unaendelea na ukikamilika hatua nyingine za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.

“Nimshukuru Kamanda wa Polisi Mkoa Tanga, baada ya kuona yametokea makosa haraka alichukua hatua ya kumuweka ndani na hatua nyingine zitafuata,” alisema Mgumba.

Akizungumzia hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa Tanga, Sophia Jongo alisema amepokea maagizo kutoka kwa mkuu huyo wa mkoa na anaendelea kuyafanyia kazi.

Chanzo: Mwananchi
Huyo huyo ndio wa.kubinya kende hadi awataje alikowapeleka wakishirikiana na huyo afisa wa ngazi ya Mkoa..
 
Hapo wote wanaopiga hizi kelele ni kwamba wanataka tu na wao waingizwe kwenye mgao, wakishapewa tu mgao wao, watamwachia na hutasikia kelele tena.
 
Ni upigaji tu...
[emoji116]
=====

Mkinga. Ofisa upelelezi wa Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga, anashikiliwa na Polisi kwa madai ya kuwaachia huru watuhumiwa wa uhujumu uchumi.

Watuhumiwa hao wanadaiwa kukamatwa na mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya Sh1.2 bilioni.

Hayo yalisemwa juzi na Mkuu wa Mkoa Tanga, Omary Mgumba alipokuwa akitoa taarifa ya ziara yake ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo ya Serikali na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa kuhusu hatua zilizochukuliwa kwa watuhumiwa 24 waliokamatwa na magendo ya vitenge.

Mgumba alisema alishangazwa na hatua hiyo na alipofanya kikao na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, ndipo alibaini aliyewaachia huru watuhumiwa ni ofisa upelelezi wa Wilaya Mkinga aliyedai kupokea maelekezo kutoka kwa ofisa upelelezi wa mkoa (bila kutaja majina).

Alisema tayari ofisa huyo amekamatwa na yuko mahabusu uchunguzi unaendelea na ukikamilika hatua nyingine za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.

“Nimshukuru Kamanda wa Polisi Mkoa Tanga, baada ya kuona yametokea makosa haraka alichukua hatua ya kumuweka ndani na hatua nyingine zitafuata,” alisema Mgumba.

Akizungumzia hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa Tanga, Sophia Jongo alisema amepokea maagizo kutoka kwa mkuu huyo wa mkoa na anaendelea kuyafanyia kazi.

Chanzo: Mwananchi
KUMBE POLISI NAO WANAFANYA MAKOSA NILIDHANI WANATII SHERIA BILA SHURUTI
 
Alipokea maagizo toka juu,kwa namna nyingine,alitakiwa kutekeleza, asingetekeleza, ina maana angekua termed as MUASI. Muhimu asije kufa katika hali ya kutatanisha, ikasemwa amejipiga risasi au kajinyonga, halafu wapewe kazi ya kufanya uchunguzi HAOHAO.
Huyo watampoteza tu, Chini ya Kachero Mbobezi IGP WAMBURA ameisha huyo...! IGP WAMBURA alishawaasa hawa RPC na RCO wasije wakamlaumu
 
hizi Sheria zakutii wakubwa mbaya Sana hasa kwa nchi isiyostaarabika
 
Aisee
Screenshot_20220725-195848.jpg
Screenshot_20220725-195833.jpg
 
Je!
OC/CID anastahili kuitwa kigogo wa jeshi la Polisi nchini?

Media zetu nazo ni kanjanja kanjanja mingi tu.
 
Siyo kwamba enzi za Magufuli kulikuwa hakuna uovu bali uovu mkubwa ulikuwa unafanywa na yeye mwenyewe na watu wake.

Mfano alipoingia Gereza la Butimba Mwanza na kuamuru wale walioshikwa na dhahabu waachiliwe.

Tumia akili unapoandika, Wacha kumuabudu Mwendazake
Acha uzushi wa kijinga. Kwani alipoingia gereza la butimba ilikua siri? Na wale waliyotoka ni siri? Kwani inahitaji rais kuingia gerezani kutoa wafungwa au ujinga unakusumbua?
 
Kichwa chako ni mzigo kwa kiwiliwili chako. Hivi inaingia akilini kweli Rais wa nchi kuingia Gerezani kwa akili ya kutoa watuhumiwa? Kwa nini asingeacha mfumo wa Mahakama na Ofisi ya Mashtaka vifanye kazi?

Misukule ya Mwendazake inabisha hata vitu vya hovyo ambavyo Magufuli alifanya
 
Mbona mkuu anaonekana amepaniki sana kuhusu suala hili la TShs bilioni 1.2.

FULL VIDEO
MKUU WA MKOA TANGA AMSWEKA MBARONI AFISA UPELELEZI MKINGA TANGA, magendo Tshs bilioni 1.2.

19 September 2022
AFISA upelelezi Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na Mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya Shs bilioni 1.2.

Mkuu wa Mkoa RC Omari Mgumba ambae pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa alisema ameshangazwa na watuhumiwa wote wanne waliokamatwa na jahazi kuachiwa huru bila ya taarifa yoyote sambamba na kutokufunguliwa jalada la kesi kama vile hakuna kitu kilichofanyika kwa watuhumiwa hao.

23 October 2022
Tanga, Tanzania

Moto Wateketeza Ghala la Kuhifadhia Magendo , RC wa Tanga Afika Eneo la Tukio

Changamoto kibao zilijitokeza kwani funguo hazikupatikana la ghala kwa wakati. Ikabidi ukuta kuvunjwa ...
Source : millard ayo
 
Back
Top Bottom