Tanga: Afisa wa TRA ajirusha ghorofani na kufariki

Tanga: Afisa wa TRA ajirusha ghorofani na kufariki

Haya maisha bana

Kuna rafiki alifariki Ile tumetoka kuzika kwao Moshi kesho yake mapema naona nafasi yake ishatangazwa kwa gazeti.
Sasa msiba ni wa nyie ndugu na marafiki au hata wateja na wategemea huduma za marehemu ?

Ndio maana ofisi au taasisi sio mtu; hio hata msiba ukitokea kazi zinaendelea yaani kuna wachache wanabaki kuendelea kulisukuma gurudumu (ingawa kwa masikitiko) Ndio maana hata nyie wafiwa mliendelea kula, kuvaa na kulala (basic needs)
 
Afisa wa TRA mh Richard Halalaze amefariki Baada ya kujirusha Kutoka ghorofa ya pili ya Hotel aliyopanga

Richard kituo chake cha Kazi ni Arusha na alikuwa Jijini Tanga kwa Kazi maalumu ya kufunga Ripoti ya Mwaka na alikuwa anaishi kwenye Hotel ya Ocean Breeze tangu July 16

Source: Mwananchi

My take; Vifo vya kujirusha Kutoka ghorofa vinaongezeka kwa kasi, kunani!
 
Jamaa yupo kwenye ajira nono ....afu anajiua ,[emoji23][emoji23][emoji23]

Kweliii upele humuota asiyena kucha

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mwananchi imefahamishwa kuwa Richard alikuwa miongoni mwa watumishi wa TRA waliokuwa jijini Tanga kwa kazi maalumu ya kuandaa taarifa ya Mamlaka hiyo ya mwaka.



Unafikiri hapo kajitupa au
 
Back
Top Bottom