JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Watakuja kwenye vyombo vya habari wakisema "...sisi tuko Dsm ajali imetokea Lushoto, sasa tunalaumiwa kwa lipi?"Ajali zimefunguliwa na mama hana cha kufanya maana hataki kuwasema wahusika watakasirika na watamjibu.
Hakuna cha kufanya tusubiri tu, na tuombe yasitukuteAjali Tanzania zimezidi kwa sasa. Ni nini kifanyike?
Kula kwa urefu wa kamba yakoAjali Tanzania zimezidi kwa sasa. Ni nini kifanyike?
Kwa sasa kuna sehemu kuna shida hali ilipofikia lazima mama afanye mabadiriko tu kwenye jeshi la polisi, na kupewa majukumu upya kwa kila RTO.Ajali zimefunguliwa na mama hana cha kufanya maana hataki kuwasema wahusika watakasirika na watamjibu.
Hivi madereva siku hizi wanavita bangi na kulewa kabla ya kuendesha magari au?Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 239 AFB walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la barabara ya Soni/Mombo wilayani Lushoto mkoani Tanga.
RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Jumanne Machi 29, 2022.
Miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Lushoto na majeruhi wapo Hospitalini hapo wakiendelea kupata matibabu.
RPC Jongo ametoa wito kwa watumiaji wa vyombo vya moto mkoani humo kuendelea kufuata sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarani.
View attachment 2168006
Chanzo: MillardAyo
Tuombe Mungu sana
Jana Prof. Ngowi , Mbalizi, Mbeya na Simiyu leo tena Tanga Mungu simama