sasa askari wanahusika nini na matakwa ya mungu kama mungu kaamuwa kuchukua roho za watu fulani kupitia ajali ya barabarani askari hawezi kupunguza wala kuzuia hata wao pia huandikiwa vifo vyao baadhi wafie barabarani hiyo huwa ni mipango ya mungu. mnatuletea stori za ummy mwalimu waziri wa afya anasema mama samia kapunguza vifo mahospitalini