Tanga: Ajali ya Fuso yaua sita wilayani Lushoto, wengine wajeruhiwa

sasa askari wanahusika nini na matakwa ya mungu kama mungu kaamuwa kuchukua roho za watu fulani kupitia ajali ya barabarani askari hawezi kupunguza wala kuzuia hata wao pia huandikiwa vifo vyao baadhi wafie barabarani hiyo huwa ni mipango ya mungu. mnatuletea stori za ummy mwalimu waziri wa afya anasema mama samia kapunguza vifo mahospitalini
 
Mambo ya ajali yameanza tena...!!!
 
Wagosi poleni,
Mini nilishndwa kupandisha gari kule juu nikaiwacha pale mombo,
Kuna kona nyingi sana na pembeni ni bonde kubwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…