Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
KabisaNakazia
Yaani Unamwaga Winga Teleza Kwa Watu!! Utapigwa Tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaNakazia
Kuua mtu kwa sababu ya mwanamke wako eti amechepuka ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.
Lazima tuelewe jambo moja, mwili wa mwanamke ni mali yake binafsi, akiamua kumpa mtu yeyote ni haki yake. Wewe unachopaswa kufanya ni kuachana nae tu.
Sasa unaua mtu unafungwa unaacha wengine wanaendelea kumla bila shida yoyote unakua imefaidika na nini kama sio upumbavu.
Unaambia hiyo hela ya guest umpe yeye, kuchukua guest nikupoteza mpungami nashangaaga sana watu wanawaaminigi wanawake wanaposema mme wangu hana tatizo njoo tu nichakatie nyumbani jamani na kuna mabwege yanaenda
Mpaka aje atoke bodaboda watakuwa wameichakaza sana keiAngefanya ujinga sana kutokumuua lakini wakati akiwa gerezani mkewe ataliwa bila mboga
Umeongea ukweli kabisa .Kuua mtu kwa sababu ya mwanamke wako eti amechepuka ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.
Lazima tuelewe jambo moja, mwili wa mwanamke ni mali yake binafsi, akiamua kumpa mtu yeyote ni haki yake. Wewe unachopaswa kufanya ni kuachana nae tu.
Sasa unaua mtu unafungwa unaacha wengine wanaendelea kumla bila shida yoyote unakua imefaidika na nini kama sio upumbavu.
wakili? Kwenye kuua kwa kukusudiaAkipata wakili mzuri mahakamani anachomoka, labda sasa huko uraiani ndugu wa marehemu wa'take revenge..
Binafsi siwezi kuua mwanamme mwezangu just because kaamua kufanya kitu akiwa na akili timamu,Ila kwa alichokifanya huyu mwanamme mwenzetu(mgoni) ni ukiritimba,yaani kuja kufanya uhuni kwenye kitanda cha mwanamme mwenzako huu ni uhuni na upumbavu Wa kiwango Cha Hali ya juu.Unaua mtu kisa mwanamke Malaya ,mtu hajabakwa kakubali mwenyewe na hajalazimishwa.Watu wajifunze kwa Mandela aliekua Rais wa south Africa alivogundua mkewe Mama Winnie Mandela anamsaliti alimpa talaka licha ya kuwa na nguvu ya hata kumuua huyo jamaa aliekuwa anamchukilia mke wake,Mwanamke ukishajua anakusaliti mpe talaka ili kiepusha shida,Jamaa atafungwa na mke ataolewa na mwanaume mwingine huu ni zaidi ya ujinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani watake kurevenge Kwa huyo mpuuzi ?Akipata wakili mzuri mahakamani anachomoka, labda sasa huko uraiani ndugu wa marehemu wa'take revenge..
Aisee!mi nashangaaga sana watu wanawaaminigi wanawake wanaposema mme wangu hana tatizo njoo tu nichakatie nyumbani jamani na kuna mabwege yanaenda
We Jamaa tukikaa wote tutaelewana sana! Yaani ndoto zangu zote ziyeyuke kisa nimefuniaaa..Kuua mtu kwa sababu ya mwanamke wako eti amechepuka ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.
Lazima tuelewe jambo moja, mwili wa mwanamke ni mali yake binafsi, akiamua kumpa mtu yeyote ni haki yake. Wewe unachopaswa kufanya ni kuachana nae tu.
Sasa unaua mtu unafungwa unaacha wengine wanaendelea kumla bila shida yoyote unakua imefaidika na nini kama sio upumbavu.
Au hunipendi?-Hii kauli huitaji kichwa kikubwa kifanye maamuzi zaidi ya kichwa cha chiniHapo kapotoshwa na mwanamke!
Kukivuka hicho kihunzi lazima uwe "rijali" wa kichwa na akili hasa.
Nadhani alipumbazwa kwa kuelezwa kirahisi tu kuwa: "huyo mjinga kasafiri hayupo, kwanini tupoteze pesa za gesti, twende tukalale tu nyumbani kwangu mume wangu".
Akitaka kuipinga hiyo hoja anaambiwa: "mimi huyo jamaa namjua hawezi kurudi", "au haunipendi"?
Mwanaume akisikia kauli toka kwa mwanamke: "au haunipendi", huwa ni sawa na kupigwa na kitu kizito, unanyong'onyea na kuishiwa pozi.