Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

Haya mambo.....nilienda kupiga mke wa police kwake yan cku hiyo ckulala kila saa nashutuka yan ukisikia honi njee..unatoka kwenda chungulia zen ule mkanda na sare zake pale nyuma ya mlango n hatar sana.
 
Yaani hilo jamaa bwege kweli ndio maana limeuawa, ingekuwa mwenye mke kamtafuta mgoni wake kitaa ningemlaumu ila kamuulia on the spot jamaa aachiwe huru
Hakai zaidi ya 7
 
mi nashangaaga sana watu wanawaaminigi wanawake wanaposema mme wangu hana tatizo njoo tu nichakatie nyumbani jamani na kuna mabwege yanaenda
kuna fala mmoja alitaka kuniingiza mkenge kama hivi akasema mme wake amesafiri nikagoma,

nashangaa asubuhi nakutana na mme wake kibaya zaidi ni mjeda

pumbavu sana mwanamke yule
 
Tanga wanaita Soni- Mombo (kupenda mserereko)Jamaa mshenzi sana hapo ukute kala msosi kwanza bure, kajifutia taulo la jamaa, na pia kala mashine bure, kalala kwenye kitanda cha jamaa na kaambiwa kojolea nje nisipate mimba kachafua shuka za watu, hapo unaponaje kwa mfano.
Mzinifu mbobezi
 
Ukimpania mwanamke kile Cha kwanza huisha fasta. Cha pili Sasa ni nusu saa na kuendelea, tatizo ukimaliza Cha pili ukitaka kuvaa suruali, mwanamke anakuuliza Sasa unavaa unakwenda wapi, kweli unarudi kitandani na ibilisi anatumia muda huo huo kukupa kausingizi.
Kuja kustuka ni swala swala, unakumbuka hujalala kwa mkeo, muda huo hakuna bodaboda, hela zote zimesachiwa na kufichwa ukiwa usingizini, unaanza kujuta Cha pili hukutumia kondom. Unawaza kazini utaendaje na nguo za Jana, wanao wakikuuliza ulilala wapi utajibu nini?
Hujachukua magonjwa hapo?
 
Hamna kesi hapo anaachiwa hata bila wakili
Kesi ipo, ila defense ya 'provocation' pia ipo but with strict principles.

Kiufupi atafungwa kwa kusababisha kifo.

Hapo kosa la mauaji ni ngumu kumpata kutokana na kosa la marehemu kula tunda la mke wa mtu ndani kwa mtu mwenyewe
 
Haya mambo.....nilienda kupiga mke wa police kwake yan cku hiyo ckulala kila saa nashutuka yan ukisikia honi njee..unatoka kwenda chungulia zen ule mkanda na sare zake pale nyuma ya mlango n hatar sana.
aisee wewe jamaa una moyo wa chuma. Ulikunywa nini ukajiamini ? Au ulipata kitu cha Arusha?
 
Kuua mtu kwa sababu ya mwanamke wako eti amechepuka ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.

Lazima tuelewe jambo moja, mwili wa mwanamke ni mali yake binafsi, akiamua kumpa mtu yeyote ni haki yake. Wewe unachopaswa kufanya ni kuachana nae tu.

Sasa unaua mtu unafungwa unaacha wengine wanaendelea kumla bila shida yoyote unakua imefaidika na nini kama sio upumbavu.
Subiri siku ukiolewa.
 
Si jamaa hatapigwa nyundo nyingi ikithibitika aliongozwa na hasira🤔🤔.

Ila achaneni na wake za watu aisee.
 
Mzigua muibie pesa. Hilo linaongeleka.
Lakini ukigusa sehemu ya MULILE Kama hajakuua kwa usinga Basi kisu au kugeuzwa mwali kunakuhusu.
 
mi nashangaaga sana watu wanawaaminigi wanawake wanaposema mme wangu hana tatizo njoo tu nichakatie nyumbani jamani na kuna mabwege yanaenda
Hatari sana hii....Kuna raia wamejitoa ufahamu.
 
Haya mambo.....nilienda kupiga mke wa police kwake yan cku hiyo ckulala kila saa nashutuka yan ukisikia honi njee..unatoka kwenda chungulia zen ule mkanda na sare zake pale nyuma ya mlango n hatar sana.
Kumtongoza mke wa mtu inahitaji ujasiri. Wewe unalala ndani kwa mtu kwenye kitanda chake? Hizo nyege gani, hata Kama ndio hiyo pombe, pombe gani inakutoa ufahamu Hadi unahatarisha usalama wa ttigo yako?
 
Kuua mtu kwa sababu ya mwanamke wako eti amechepuka ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.

Lazima tuelewe jambo moja, mwili wa mwanamke ni mali yake binafsi, akiamua kumpa mtu yeyote ni haki yake. Wewe unachopaswa kufanya ni kuachana nae tu.

Sasa unaua mtu unafungwa unaacha wengine wanaendelea kumla bila shida yoyote unakua imefaidika na nini kama sio upumbavu.
Hana kesi sana atakaa rumande miezi sita ataschiwa huru
 
Tanga wanaita Soni- Mombo (kupenda mserereko)Jamaa mshenzi sana hapo ukute kala msosi kwanza bure, kajifutia taulo la jamaa, na pia kala mashine bure, kalala kwenye kitanda cha jamaa na kaambiwa kojolea nje nisipate mimba kachafua shuka za watu, hapo unaponaje kwa mfano.
Dah noma sana,

Sema hapa naona hamna kesi, wanasheria wanaelewa!
 
Uko handeni c ndipo kuna kiwanda cha Tego almaarufu Usinga mzigua hta awe mzee lkn kugegedana ndyo jadi
 
Back
Top Bottom