Tripper
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 778
- 1,522
Acha aue tu, tunatofautiana hisia huenda wew una moyo tofauti. Made of Iron
Kuua mtu kwa sababu ya mwanamke wako eti amechepuka ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.
Lazima tuelewe jambo moja, mwili wa mwanamke ni mali yake binafsi, akiamua kumpa mtu yeyote ni haki yake. Wewe unachopaswa kufanya ni kuachana nae tu.
Sasa unaua mtu unafungwa unaacha wengine wanaendelea kumla bila shida yoyote unakua imefaidika na nini kama sio upumbavu.