Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

Hasira hasara

Hapo mmja anaenda kuozea kwenye majengo ya serikali
Mwingine ashapoteza uhai

Ova
 
Pengine hapo kaua kupinga dharau sio kupinga mkewe kuliwa

Unaendaje kumla Mke wa mtu nyumbani kwa 'Mtu'

Ila Mapenzi yalivyo hayana kanuni usishangae jamaa akichomoka Mahakamani akaja kuendelea na huyo Mwanamke kwa kuambiwa tu 'Shetani' alinipitia …akina Will Smith na huku kwetu pia wapo
 
Jamaa ana gaki kabisa ya kumuuwa, hii ilikuwa ni dharau na fedheha, potelea mbali
 
Angefanya ujinga sana kutokumuua lakini wakati akiwa gerezani mkewe ataliwa bila mboga
 
mi nashangaaga sana watu wanawaaminigi wanawake wanaposema mme wangu hana tatizo njoo tu nichakatie nyumbani jamani na kuna mabwege yanaenda
Unaambia hiyo hela ya guest umpe yeye, kuchukua guest nikupoteza mpunga
 
Unaua mtu kisa mwanamke Malaya ,mtu hajabakwa kakubali mwenyewe na hajalazimishwa.Watu wajifunze kwa Mandela aliekua Rais wa south Africa alivogundua mkewe Mama Winnie Mandela anamsaliti alimpa talaka licha ya kuwa na nguvu ya hata kumuua huyo jamaa aliekuwa anamchukilia mke wake,Mwanamke ukishajua anakusaliti mpe talaka ili kiepusha shida,Jamaa atafungwa na mke ataolewa na mwanaume mwingine huu ni zaidi ya ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea ukweli kabisa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi siwezi kuua mwanamme mwezangu just because kaamua kufanya kitu akiwa na akili timamu,Ila kwa alichokifanya huyu mwanamme mwenzetu(mgoni) ni ukiritimba,yaani kuja kufanya uhuni kwenye kitanda cha mwanamme mwenzako huu ni uhuni na upumbavu Wa kiwango Cha Hali ya juu.
 
Kuuwa mtu kisa kachepuka ni upumbavu na ubinafsi wa hali ya juu mwili wake.
 
Katika maisha ya mapenzi inatakiwa uipe akili yako mawazo kama haya Ili ikitokea utaweza balance.
 
We Jamaa tukikaa wote tutaelewana sana! Yaani ndoto zangu zote ziyeyuke kisa nimefuniaaa..
 
yaani unalala kabisa nyumbani kwa mwanaume mwenzio na kugegeda unagegeda, huu nao ni uboya kama uboya mwingine... Jamaa kafa kifala na Jamaa kaua kifala sana...

Jamaa naye kaua anakwenda jela, kamuacha mke uraiani huku mchepuko naye kafa, dah hapo mama anakamata kichwa kingine maisha yanaendelea
 
Au hunipendi?-Hii kauli huitaji kichwa kikubwa kifanye maamuzi zaidi ya kichwa cha chini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…