Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

Acha aue tu, tunatofautiana hisia huenda wew una moyo tofauti. Made of Iron
 
kuna fala mmoja alitaka kuniingiza mkenge kama hivi akasema mme wake amesafiri nikagoma,

nashangaa asubuhi nakutana na mme wake kibaya zaidi ni mjeda

pumbavu sana mwanamke yule
😄
Mkuu cku hiyo ndio ilikua iwe mara ya kwanza au uliwahi mgegeda kabla?
 
Nilishaapa SITOKUJA KUFANYA HUO UPUMBAVU.
MIMI "KUACHANA TU"
 
Yaani hilo jamaa bwege kweli ndio maana limeuawa, ingekuwa mwenye mke kamtafuta mgoni wake kitaa ningemlaumu ila kamuulia on the spot jamaa aachiwe huru
Atafungwa si chini ya miaka miwili jela baadaye ataachwa kwa sababu ataonekana ameua tokana na hasira ya kumfumania Mkewe.
 
The killer was frustrated by his own inability to sexually satisfying his wife
 
Huyo jamaa ni boya mwanaume unaendaje kula mke wa mwenzio nyumbani kwake..kapata stahiki yake
 
Ivi yule mwamba aliyemchoma mkewe na kufikia majibu kule kigamboni kesi yake iliishia wapi
 
KUUA MWANAUME MWENZIO KWA SBB YA FUMANIZI,KUME PITWA NA WAKATI.
PIGA PUMBUH MGONI WAKO.
 
kuna fala mmoja alitaka kuniingiza mkenge kama hivi akasema mme wake amesafiri nikagoma,

nashangaa asubuhi nakutana na mme wake kibaya zaidi ni mjeda

pumbavu sana mwanamke yule
Kwenye haya majanga ya mafumanizi, yapo mengine yana sura za kupangwa kifumanizi.

Yaani, mwanamke unayemtongoza anapanga na mumewe wakukamate wanufaike ama katika mawasiliano yako na huyo mwanamke, bahati mbaya mwanaume kagundua mawasiliano yenu na mkewe na kuweka masharti ya kukuvuta ili mwanamke aokoe ndoa yake.

Pia kuna wanawake walishawachoka waume zao, ukimtongoza anakudanganya kuwa hajaolewa ili akupate bila wewe kujiuliza mara mbili mbili.

Tuseme haya mambo ni magumu sana, maana shetani kapiga kambi kwenye "angle" hiyo habanduki.

Sasa, unapoingia majaribuni kwa kukandamizwa na tamaa zako za ngono ni vema na akili ikatumika ili kuepuka madhara yatokanayo na zoezi hilo.

Mungu atuhutumie.
 
Polisi hawana akili, sasa jamaa kafanya kosa gani hadi wamshikilie? Waishikilie maiti hiyo ndio yenye kosa
 
Mwanamke wako kuzini siyo lazima mume wake uwe na tatizo, wanawake wengine ni hulka.
Mengine yote uliyosema nayaunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…