Tanga: Auawa kwa kuchomwa kisu, inadaiwa chanzo kumuomba maji ya kunywa aliyefunga

Baadhi ya waumini wa hizi dini hasa hii ya Kiislamu ni wajinga wenye misimamo iliyopitiliza ona sasa ujinga unavyokugharimu kisa kufunga Ramadan je ndivyo dini zinavyoelekeza?.
Wewe ndie mjinga zaidi ulie soma msitali 1 kisha ukatoa hukumu utadhani ulikuwepo[emoji14][emoji14]
 
Unashutumu vipi aliyakuwa uchunguzi aujambaini?
Shutuma na tuhuma hutangulia kabla ya uchunguzzi. Umejifunzia wapi mambo ya uchunguzi yanayokataza kumtuhumu mtu kwa sababu uchunguzi haujakamilika?
 
Tatizo la baadhi ya wakiristo wakiona kichwa cha habari kinahusu uisilamu bila kusoma mpaka mwisho wanalipuka kama mwamposa,haya sasa huo ndio chuki yao ilivio polisi bado wanafanya uchunguzi kubaini sababu ya kifo huku waabudu yesu wanatoa hukumu ujinga ni kipaji chao
 
Hapo hamna uchochezi ni Taarifa Ambayo hata Jf wenyewe wamechapisha Twitter
 
Allah is happy
 
Mzee
 
Namaanisha Dini inawapumbaza wanadamu na inawawekea mipaka ya kutumia Common sense.
Hapa dini inaangiaje?umesoma taarifa ya polisi mpaka mwisho au umesoma msitali 1 tu ukalipuka na kuanza kushutumu dini?
 
Mwezi mtukufu halafu unauwa?

Hiyo dini kwani hakuna mtu mwenye akili timamu akawafundisha namna ya kutenda mambo kwa usahihi?
Hapa dini inaingiaje?umesoma ripoti ya kamanda mpaka mwisho au umesoma kamditali 1 tu kisha chuki yako ya Udini ikapanda ukaanza kushutumu!!![emoji2957]
 
Tatizo lako umesoma msitari 1 tu kisha ukatoa hukumu ludia kusoma tarifa ya polisi mpaka mwisho elimu gani unayo iongelea wewe wewe ndie mwenye elimu unae shutumu bila kujua chanzo!!
 
Huu ndio ukweli,kama anaishi nyumba hiyo hiyo,angekwenda kuchukuwa maji mwenyewe,akanywa bila kuomba kwa mtu mwingine.
Kwanza katika uislamu,mgonjwa hafungi.
Na kama alikuwa mgonjwa hawezi hata kuyafuata hayo maji, inakuwa aje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…