Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

Tanga imebarikwa kipi kinachoweza kuwa namba 2 baada ya Dar?
Tembea mkuu kwenye Tanzania hii uone baraka za Mungu kwa baadhi ya mikoa.
Nimezurura sana tanzania hii kasoro kigoma,lindi,mtwara na katavi,sumbawanga.
Iliyobaki yoteninefika.
Tangakuna bahari,kuna mito,ardhi safi ya kilimo kule lushoto ji ulayandogo,mbuga ya wanyama,vivutio vya utalii,maeneo yaufugaji,nini tena unataka
 
Hiyo mikoa haina bahari
Lushoto ni ulaya ndogo
Bahari?
Bahari pekee haitoshi kukupatia maendeleo.
Maji ya bahari yangekuwa ndiyo kigezo cha mendeleo basi Somalia na Djibouti zingekuwa mbali sana.

Maendeleo yanataletwa na jitihada zenu wenyewe siyo maji ya bahari.
 
Huko kwingine hakuna machawa Wala sio swala la ajabu,Hako kamkoa kuna kipindi wabunge wake 7 walikuwa Mawaziri na imekuwa hivyo miaka Mingi tuu (uchawa).

Mfano mzuri wa uchawa mwingine ni Pwani nayo Ina mawaziri Rundo ndio maana saizi wameanza kujipa hadhi ya Manispaa sijui Mji na upuuzi mwingine kisa uchawa.

By the way Tabora na Morogoro Ina vigezo zaidi vya kuwa Jiji kuliko Tanga.

Mwisho Majiji mengine uliyoyaa Yana sifa na vigezo kuanzia idadi ya watu,Mapato na Ukubwa wa Uchumi
Mi nakubaliana nawe, hata aliyepandisha hadhi manispaa ya Tanga kuwa jiji ni Waziri furani wa Tamisemi wa wakati huo (sitomtaja jina) ambaye alikuwa na urafiki wa karibu (Uchawa) na rais wa wakati ule Ben Mkapa.
 
Nimezurura sana tanzania hii kasoro kigoma,lindi,mtwara na katavi,sumbawanga.
Iliyobaki yoteninefika.
Tangakuna bahari,kuna mito,ardhi safi ya kilimo kule lushoto ji ulayandogo,mbuga ya wanyama,vivutio vya utalii,maeneo yaufugaji,nini tena unataka
Usirudie kuongelea bahari.
Bahari ipo kila mahali, ipo Mkuranga, Nyamisati, Somanga, Nangurukuru nk.
Kama huna bidhaa ya kusafirisha bahari yako itakuwa maji tu ya kuvulia samaki.
Bandari ya Mtwara itapanuliwa ili kupakia Makaa ya Mawe kutoka Mkoani Ruvuma, Chuma na bidhaa za kilimo toka mikoa ya kusini na nchi jirani za Malawi na Zambia.
Bahari ya Tanga itakuwa na faida pale bomba la mafuta kutoka Hoima litakapofika Chongoleani.
Mizigo ya nchi nyingine itashushwa Dar ambako kuna barabara ya uhakika na reli za TAZARA na ile ya kisasa SGR.
Na hata ikitokea Dar kuzidiwa kuna mpango wa kujenga bandari ya Bagamoyo, siyo Tanga.
 
Mi nakubaliana nawe, hata aliyepandisha hadhi manispaa ya Tanga kuwa jini ni Waziri furani wa Tamisemi wa wakati huo (sitomtaja jina) ambaye alikuwa na urafiki wa karibu (Uchawa) na rais wa wakati ule Ben Mkapa.
Tanga ilipewa hadhi ya manispaa 1930s,kwa hiyo wakoloni nao walikosea?
 
Usirudie kuongelea bahari.
Bahari ipo kila mahali, ipo Mkuranga, Nyamisati, Somanga, Nangurukuru nk.
Kama huna bidhaa ya kusafirisha bahari yako itakuwa maji tu ya kuvulia samaki.
Bandari ya Mtwara itapanuliwa ili kupakia Makaa ya Mawe kutoka Mkoani Ruvuma, Chuma na bidhaa za kilimo toka mikoa ya kusini na nchi jirani za Malawi na Zambia.
Bahari ya Tanga itakuwa na faida pale bomba la mafuta kutoka Hoima litakapofika Chongoleani.
Mizigo ya nchi nyingine itashushwa Dar ambako kuna barabara ya uhakika na reli za TAZARA na ile ya kisasa SGR.
Na hata ikitokea Dar kuzidiwa kuna mpango wa kujenga bandari ya Bagamoyo, siyo Tanga.
Bandari ya Tanga iko strategicalky,Tanga juna reki,Tanga ni karibu na arusha,moshi,uganda na nairobi,bagamoyo ni karibu na waoi?
Bandarii ya Tanga ni natural.
Wakoloni hawakua wajinga kuiendeleza Tanga,ipo kimkakati
Handeni panafaa kwa kikimo na ufugaji
Lushoto utalii na kilimo,korogwe panafaa kwa kilimo,utalii pia si haba
 
Kama Tanga ni Wavivu kuna haja kuwe na kampeni ya kuwa fanya watu wawe wavivu zaidi.

1. Tanga ni mkoa wa 4 nchi hii kulipa kodi zaidi

2. Tanga ni mkoa wa 5 nchi hii kuchangia mapato

Nyie ambao sio wavivu mmechangia nini?
Kinacho isaidia sana Tanga kwenye stat za mapato TRA ni bandari na mpaka wa kenya ambao ndio unavusha asilimia kubwa ya bidhaa za kenya zinazo ingia Tz na kutoka
Ikizingatiwa kwamba Kenya ndio nchi ya pili duniani tunayofanya nayo sana biashara ukiondoa uchina
 
Back
Top Bottom