Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda tusaidie tafsiri sahihi ya umaskini. Huenda tuna tafsiri tofautihii mentality yenu mbaya sana. sasa ukimiliki baiskeli ukaridhika, una wake wanne na watoto rundo, utasomeshea nini? si ndio maana tunasema kuna cycle ya umasikini kwa sababu ninyi na familia zenu zote na ukoo mzima mna mentality kama hii, what do you expect Tanga iwe?
Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
kwa bahati mbaya uwezo huo huna na hata elimu hauna kwa sababu ungekuwa nayo ingekuwa imekukomboa, na pesa hauna, na hata matusi usingetukana ungetoa hoja. matusi hayo yanakuja kwa frustration zako za kimaisha na ninakusamehe bure.Mpumbavu unajua hali yangu mimi naweza kukulisha na ukoo wako wote mwaka mzima, wacha dharau za kisenge hizo
kama haujui maana ya umasikini basi wewe unahitaji msaada wa kiakili.Labda tusaidie tafsiri sahihi ya umaskini. Huenda tuna tafsiri tofauti
Leta tafsiri yako ya umaskini acha kurukaruka.kama haujui maana ya umasikini basi wewe unahitaji msaada wa kiakili.
Kweli maana mashamba ya mkonge yalikuwa yana limwa na ManambaWavivu hao watu hatari
Tena unaivunja heshima hiyo ID kwa kuleta maneno ya shombo, matajiri wala hawapigi kelele wewe ni kapuku tu unayenyanua mabega .hii mentality yenu mbaya sana. sasa ukimiliki baiskeli ukaridhika, una wake wanne na watoto rundo, utasomeshea nini? si ndio maana tunasema kuna cycle ya umasikini kwa sababu ninyi na familia zenu zote na ukoo mzima mna mentality kama hii, what do you expect Tanga iwe?
sioni kama nimeandika chochote kibaya hapa tupo kujadili kwa hoja ila wewe ndiye unayetukana. au nakosea?Tena unaivunja heshima hiyo ID kwa kuleta maneno ya shombo, matajiri wala hawapigi kelele wewe ni kapuku tu unayenyanua mabega .
Wewe ungekuwa na elimu usingeleta hoja za kipumbavu kutoa sweeping statement kuwadharau watu wa Tanga tunakuona wewe fala tu na majivuno ya kishamba. Wenye fedha na elimu kubwa wala hawajitangazi bali matendo na kazi zao ndiyo zinawatambulisha hivyo wewe bwege tu.kwa bahati mbaya uwezo huo huna na hata elimu hauna kwa sababu ungekuwa nayo ingekuwa imekukomboa, na pesa hauna, na hata matusi usingetukana ungetoa hoja. matusi hayo yanakuja kwa frustration zako za kimaisha na ninakusamehe bure.
Rudia tena kusoma sentensi ya kwanza ya post yako # 70 uone kama inatoka kwa mtu anayejiheshimu. Ulileta maneno ya kipumbavu lazima ujibiwe kipumbavusioni kama nimeandika chochote kibaya hapa tupo kujadili kwa hoja ila wewe ndiye unayetukana. au nakosea?
Kabla na baada kidogo ya Uhuru, Mkoa wa Tanga ulikua ni Mkoa wa pili wenye uchumi mkubwa baada ya dar es Salaam.Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
yeah anajenga pale barabara ya 8 almost limefikia asilimia 95%Sijui ndugu mwandishi unaongelea Tanga as mkoa au Tanga as mji, kwa Tanga as mji ni mji ulianza tangu mwaka 1890 wajerumani walipo ingia, Mji wa tanga ulipata hadhi ya kuwa manispaa tangu 1930, tokea hapo tanga ulikuwa mji kimbilio na namba moja kwa uchumi tanganyika mpka tunapata uhuru, mji wa tanga uliumbwa kwa mfumo wa capitalistic town, yaan walikuwepo watu na kampuni nyingi zenye nguvu ambazo ziliubeba uchumi, nani haikumbuki amboni na product zao kama ndoo za amboni na ndala za umoja? Uchumi wa kikapitalisti ulileta watu wengi tanga ili kufanya kazi, mji ulikuwa na mkoa ulikua miaka ya 70 mpka 80 sera za mwalimu nyerere ndio ziliua mji wa tanga na uchumi wake, azimio la arusha ndio lilimaliza kabisa uchumi wa pale, isingekuwa rahisi mji wenye uchumi wa mtu mmoja na makampuni ghafla ubadili upeo uwe mji wa kijamaa, walowezi wote waliikimbia tanga kwenda kenya, uingeleza na marekani, tanga kwa sasa uwekezaji una rudi taratibu, uchumi wa pale utakua, saivi wageni ni wengi, wenyeji siku zote huchelewa kujua kukimbizana na uchumi, ila soon uchumi wa kikapitalisti uta take over, sasa hivi wafanya biashara wenye asili ya ki asia wameanza jenga majengo marefu mjini, nina jamaa angu eng. Kwa mara ya kwanza ana tenda tanga ya kujenga jengo la orofa 10 pale mjini, jengo la wahindi, wale jamaa walinyang'anywa majengo yao yote mijini na sera ya kutaifisha, sekta ya ujenzi nayo huchangia uchumi
Umedadavua vema mkuu shukraniSijui ndugu mwandishi unaongelea Tanga as mkoa au Tanga as mji, kwa Tanga as mji ni mji ulianza tangu mwaka 1890 wajerumani walipo ingia, Mji wa tanga ulipata hadhi ya kuwa manispaa tangu 1930, tokea hapo tanga ulikuwa mji kimbilio na namba moja kwa uchumi tanganyika mpka tunapata uhuru, mji wa tanga uliumbwa kwa mfumo wa capitalistic town, yaan walikuwepo watu na kampuni nyingi zenye nguvu ambazo ziliubeba uchumi, nani haikumbuki amboni na product zao kama ndoo za amboni na ndala za umoja? Uchumi wa kikapitalisti ulileta watu wengi tanga ili kufanya kazi, mji ulikuwa na mkoa ulikua miaka ya 70 mpka 80 sera za mwalimu nyerere ndio ziliua mji wa tanga na uchumi wake, azimio la arusha ndio lilimaliza kabisa uchumi wa pale, isingekuwa rahisi mji wenye uchumi wa mtu mmoja na makampuni ghafla ubadili upeo uwe mji wa kijamaa, walowezi wote waliikimbia tanga kwenda kenya, uingeleza na marekani, tanga kwa sasa uwekezaji una rudi taratibu, uchumi wa pale utakua, saivi wageni ni wengi, wenyeji siku zote huchelewa kujua kukimbizana na uchumi, ila soon uchumi wa kikapitalisti uta take over, sasa hivi wafanya biashara wenye asili ya ki asia wameanza jenga majengo marefu mjini, nina jamaa angu eng. Kwa mara ya kwanza ana tenda tanga ya kujenga jengo la orofa 10 pale mjini, jengo la wahindi, wale jamaa walinyang'anywa majengo yao yote mijini na sera ya kutaifisha, sekta ya ujenzi nayo huchangia uchumi
Yaani kumiliki itel ya 100k na kuwa na account jf anajiona amemaliza ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mpumbavu unajua hali yangu mimi naweza kukulisha na ukoo wako wote mwaka mzima, wacha dharau za kisenge hizo
Umeongea point,wabongo usipolima wanakuita we mvivuKabla na baada kidogo ya Uhuru, Mkoa wa Tanga ulikua ni Mkoa wa pili wenye uchumi mkubwa baada ya dar es Salaam.
Tanga iliporomoka baada ya zao la mkonge kumkosa soko duniani kitu ambacho kilipelekea Bandari kufa na hatimae viwanda vingi kama sio vyote kufa.
Kwa sasa zao la mkonge limefufuka baada ya ulimwengu kurudia matumizi ya mkonge dhidi ya plastic na Bandar unafanya kazi now japo sio kwa kiwango chake, ila Tanga itafufuka.
Kuhusu uvivu wa watu wa Tanga Sina cha kusema Zaid ya kuangalia utamaduni wa watu wa pwani wengi ni wavuvi na wa minazi ambayo haikuitaji kila siku kukuja mgongo na wavuvi wengi wanavua usiku
Mbona hata Arusha,Dar, Dodoma zinaendelea lakini wenyeji siyo walioleta mapinduzi makubwa ya maendeleo ?hayo mandeleo yanatoka wapi wakati vijana kwa wazee wanashinda kwenye vijiwe vya story na bao
Kama wewe ushajiwekea level na standard za juu za mafanikio kama biashara kubwa,magari na uwe na miradi mbalimbali ili ujiskie umefanikiwa ukimuona mwenzako ameridhika na baiskeli yake na kunywa kahawa unamuona kama loser na mvivu. Unatakiwa uishi ukijua kua kuna philosophy mbalimbali za maisha na kila philosophy ipo sahihi kwa jamii fulani.Mkuu umetema madini adimu sana. Hapa watabisha watumwa wa mzungu tu maana wako radhi wauze bia feki ili waonekane nao ni watu kwa mawazo yao
HIVYO vyakula wanavyopika wanavitoa wapi wakati tunaambiwa eti ni wavivu?!