Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mimi ni mtanzania sizuiwi kuja Tanga na kutoka kama navyozuiwa Zanzibar mpk niwe na kitambulishoUshafika mara ngap jiji la Tanga na ulikua unaenda wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mtanzania sizuiwi kuja Tanga na kutoka kama navyozuiwa Zanzibar mpk niwe na kitambulishoUshafika mara ngap jiji la Tanga na ulikua unaenda wapi?
Wapi nimesema umezuiwa kuja? Swali rahisi nimekuuliza unaenda out of topic kuongea ambavyo Hujaulizwa.Mimi ni mtanzania sizuiwi kuja Tanga na kutoka kama navyozuiwa Zanzibar mpk niwe na kitambulisho
Jibu ni kwamba Tanga nakuja mara kwa maraWapi nimesema umezuiwa kuja? Swali rahisi nimekuuliza unaenda out of topic kuongea ambavyo Hujaulizwa.
Tatizo tanga mjini nayo imejificha ndani ndani sana, Bandari ya Tanga sasa hivi inafanya vizuri, bomba la mafuta ya uganda linapitia hapo, viwanda vya mikonge vimeanza kufanya kazi, reli inafanya kazi, tanga itanyanyukaKiografia yake ndio tatizo kubwa sana .Mbeya na Mwanza ni majiji huru tena kikanda zao ila angalia Tanga sasa bandari inanyonywa na Dar huku fursa za shughuli za kiserkali zinapelekwa Arusha ...
Tatizo tanga mjini nayo imejificha ndani ndani sana, Bandari ya Tanga sasa hivi inafanya vizuri, bomba la mafuta ya uganda linapitia hapo, viwanda vya mikonge vimeanza kufanya kazi, reli inafanya kazi, tanga itanyanyuka
unahisi hela za Bandari zinapitia Halmashauri ya Tanga? hazipitii, huyo ChoiceVariable anafahamu hilo ila anazingua tu, tushali discuss hilo humu.
soma hapo
Pre GE2025 - Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ikiwa ni ongezeko la asilimia 19.491 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2023/2024, ambayo ilikadiriwa kukusanya Tsh. bilioni 21 kutoka mapato ya ndani. Akizungumza...www.jamiiforums.com
tunakusanya kodi bilioni 300 bajeti ya jiji bilioni 25, nyengine zinaenda kujenga kwengine, hela inayokusanywa Tanga ingebaki kujenga mkoa tungekua mbali mno.
Msijitoe ufaham mpepewa trillion 3.1 na mama hizo si ni hela?unahisi hela za Bandari zinapitia Halmashauri ya Tanga? hazipitii, huyo ChoiceVariable anafahamu hilo ila anazingua tu, tushali discuss hilo humu.
soma hapo
Pre GE2025 - Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ikiwa ni ongezeko la asilimia 19.491 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2023/2024, ambayo ilikadiriwa kukusanya Tsh. bilioni 21 kutoka mapato ya ndani. Akizungumza...www.jamiiforums.com
tunakusanya kodi bilioni 300 bajeti ya jiji bilioni 25, nyengine zinaenda kujenga kwengine, hela inayokusanywa Tanga ingebaki kujenga mkoa tungekua mbali mno.
Uko sahihi,watanzania hudhani ili uonekane mchapakazi lazima ufie shambani.Unajua kuna aina fulani ya ujinga ambao huwezi kuutibu hata kwa elimu, na wewe rafiki yangu unaonesha dalili zake zote. Unaposema eti “watu wa Pwani ni wavivu” unadhihirisha ujinga wa kihistoria ulioletwa na mkoloni na kupewa watu wa bara kama zawadi ya upumbavu wa kizazi. Umefundishwa kushabikia propaganda ya mkoloni bila hata kujua historia ya nchi yako.
Watu wa Pwani walikuwa na biashara na dunia nzima wakati bado watu wa bara wanahesabu ng’ombe na kugombania ardhi ya kulima mihogo. Waarabu, Waajemi, Wahindi na hata Wazungu walikuwa wakija Pwani kufanya biashara kwa sababu watu wa Pwani walikuwa na akili ya biashara na sio akili ya kubeba mawe kwenye mashamba ya Wajerumani.
Mkoloni alipokuja, aliwatafuta wajinga wa kufanyia kazi mashamba yake akakutana na watu wa bara, wenye nguvu lakini wasiokuwa na ujanja wa maisha, akawapa jembe na kuwafanya manamba. Watu wa Pwani waliona hiyo ni kazi ya kijinga, wakaendelea na biashara zao, wakaendelea na uelewa wao wa dunia, wakaendelea kuchanganyika na tamaduni za kimataifa, huku bara mkiendelea kufundishwa nidhamu ya fimbo na kuabudu kila mgeni mweupe.
Na leo hii, baada ya miongo mingi ya ujinga, mtu kama wewe bado anadhani uvivu ni kutofanya kazi za shamba za Wajerumani? Na unataka kujifanya mko na akili kubwa kwa sababu mlitumika kama nguvukazi ya mkoloni? Hebu kaeni nayo huko hiyo akili kubwa yenu, lakini msijaribu tena kuzungumzia Pwani kama hamna akili ya kuelewa historia. Watu wa Pwani ni wajanja, sio wajinga wa kubebeshwa jembe na kuambiwa ni heshima.
Probably a naongelea Bomba la mafuta, budget ya Jiji la Tanga ni Bilioni 25,Msijitoe ufaham mpepewa trillion 3.1 na mama hizo si ni hela?
uvivu, uchawi, uzinzi, ulawiti, n.k, mtu wa tanga akinunua baiskeli huwa anaona ameshafanikiwa, kumkuta baba mtu mzima na wake wawili ila ana mgahawa mdogo sana anaouza tu chapati na vitafunwa asubuhi na jioni, mchana kutwa kalala au anacheza bao, ni kawaida. Pia, hata serikali haijaona fursa, tanga kuna bandari/eneo la bandari inayoweza kulisha sio tu dsm bali kenya, uganda na rwanda na mikoa ya huko. reli toka dsm hadi tanga ipo ya mjerumani, ni kufukua tu na kutandaza mpya ya sgr ili watu wanywe chai tanga na lunch DSM lakini wapi serikali inasubiri mzungu atoe msaada. connecting sgr from dsm to Tanga manake umekonect na MOmbasa pia na kilimanjaro na arusha. Uvuvi, hivyo viboti vimenunuliwa na samia juzi, wanatakiwa kununua boti nyingi na kubwa na kuwapa hao wavuvi kwenye vikundi wavue samaki nyingi wauze wapate pesa mzunguko wa pesa uwepo, kwa wasiojua, bei ya pweza kilo moja hapa bongo ni sawa tu na bei ya pweza kwenye nchi nyingi tu za ulaya na asia, kwa sababu kumvua ni ngumu hadi uzamie, pia samaki tunakula tu dagaa hapa, ukienda pale feri unawaona wanaouza visamaki vichache ambavyo amekesha usiku mzima unawaonea huruma. serikali imewatupa.Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
Hii ni tabia ya waafrika woteNdiyo umetengenezwa, watu wa Tanga wapo hata mikoa mingine, kazi kubwa kwao ni uzinzi na umbea
MajorityHii ni tabia ya waafrika wote
Nyie mnaoisakama Tanga vijijini kwenu wanalalia ngozi za mbuzi kwa vile mumejua kutumia smartphone basi mnaandika upumbavu tuuvivu, uchawi, uzinzi, ulawiti, n.k, mtu wa tanga akinunua baiskeli huwa anaona ameshafanikiwa, kumkuta baba mtu mzima na wake wawili ila ana mgahawa mdogo sana anaouza tu chapati na vitafunwa asubuhi na jioni, mchana kutwa kalala au anacheza bao, ni kawaida. Pia, hata serikali haijaona fursa, tanga kuna bandari/eneo la bandari inayoweza kulisha sio tu dsm bali kenya, uganda na rwanda na mikoa ya huko. reli toka dsm hadi tanga ipo ya mjerumani, ni kufukua tu na kutandaza mpya ya sgr ili watu wanywe chai tanga na lunch DSM lakini wapi serikali inasubiri mzungu atoe msaada. connecting sgr from dsm to Tanga manake umekonect na MOmbasa pia na kilimanjaro na arusha. Uvuvi, hivyo viboti vimenunuliwa na samia juzi, wanatakiwa kununua boti nyingi na kubwa na kuwapa hao wavuvi kwenye vikundi wavue samaki nyingi wauze wapate pesa mzunguko wa pesa uwepo, kwa wasiojua, bei ya pweza kilo moja hapa bongo ni sawa tu na bei ya pweza kwenye nchi nyingi tu za ulaya na asia, kwa sababu kumvua ni ngumu hadi uzamie, pia samaki tunakula tu dagaa hapa, ukienda pale feri unawaona wanaouza visamaki vichache ambavyo amekesha usiku mzima unawaonea huruma. serikali imewatupa.
sasa watu kama wewe, wanaoridhika wakati wapo kwenye hali duni ndio mnaimaliza tanga. hiyo mentality hadi ukoo wenu mzima utakuta mpo hivyo.Nyie mnaoisakama Tanga vijijini kwenu wanalalia ngozi za mbuzi kwa vile mumejua kutumia smartphone basi mnaandika upumbavu tu
Ni kweli. Hata ungekua sawa na dar tu. Mji wenye bahari unakua maskini kama Dodoma🤣🤣🤣🤣🤣Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
Naona bado hujafika kwenye level ya kuelewa watu wa Pwani. Watu wa Pwani wanajua kuwa maisha haya ni ya kupita, na yanapaswa kufurahiwa.uvivu, uchawi, uzinzi, ulawiti, n.k, mtu wa tanga akinunua baiskeli huwa anaona ameshafanikiwa, kumkuta baba mtu mzima na wake wawili ila ana mgahawa mdogo sana anaouza tu chapati na vitafunwa asubuhi na jioni, mchana kutwa kalala au anacheza bao, ni kawaida. Pia, hata serikali haijaona fursa, tanga kuna bandari/eneo la bandari inayoweza kulisha sio tu dsm bali kenya, uganda na rwanda na mikoa ya huko. reli toka dsm hadi tanga ipo ya mjerumani, ni kufukua tu na kutandaza mpya ya sgr ili watu wanywe chai tanga na lunch DSM lakini wapi serikali inasubiri mzungu atoe msaada. connecting sgr from dsm to Tanga manake umekonect na MOmbasa pia na kilimanjaro na arusha. Uvuvi, hivyo viboti vimenunuliwa na samia juzi, wanatakiwa kununua boti nyingi na kubwa na kuwapa hao wavuvi kwenye vikundi wavue samaki nyingi wauze wapate pesa mzunguko wa pesa uwepo, kwa wasiojua, bei ya pweza kilo moja hapa bongo ni sawa tu na bei ya pweza kwenye nchi nyingi tu za ulaya na asia, kwa sababu kumvua ni ngumu hadi uzamie, pia samaki tunakula tu dagaa hapa, ukienda pale feri unawaona wanaouza visamaki vichache ambavyo amekesha usiku mzima unawaonea huruma. serikali imewatupa.
Mkuu umetema madini adimu sana. Hapa watabisha watumwa wa mzungu tu maana wako radhi wauze bia feki ili waonekane nao ni watu kwa mawazo yaoNaona bado hujafika kwenye level ya kuelewa watu wa Pwani. Watu wa Pwani wanajua kuwa maisha haya ni ya kupita, na yanapaswa kufurahiwa.
Hawa ni watu ambao wanafurahia kile kidogo walicho nacho badala ya kuishi kwa hofu ya kutokupata kingine. Hawakushikwa na ugonjwa wa ubepari unaowafanya wengine muishi maisha ya wivu, mashindano, na stress zisizo na kichwa wala miguu. Kama Wamasai wanavyopenda ng’ombe wao na kuona utajiri wao kwenye mifugo, watu wa Pwani wanapima mafanikio kwa amani ya moyo, furaha, na mahusiano na watu wanaowapenda.
Na jambo moja la ajabu ni kwamba, watu wa Pwani si wachoyo. Hawana hofu ya kuona mgeni anafanikiwa. Mgeni akija, akafanya biashara, akawa tajiri, watu wa Pwani hawana shida. Hawaishi maisha ya wivu na roho mbaya kama jamii nyingine zinazokaa macho usiku zikiwaza mwenzangu ana nini ambacho mimi sina. Wao wanaishi na msimamo wa mali si kitu, cha muhimu ni maisha yenyewe.
Kwa hiyo, kama huelewi mtazamo huu, utaendelea kufikiria kwamba watu wa Pwani ni wavivu, kumbe ukweli ni kwamba wao wana maisha mazuri kuliko wewe. Hawaishi kwa stress, hawaishi kwa mashindano, wana furaha, na wanajua kuwa mwisho wa yote, maisha haya ni mafupi sana kupoteza muda kwenye presha zisizo na maana.
hii mentality yenu mbaya sana. sasa ukimiliki baiskeli ukaridhika, una wake wanne na watoto rundo, utasomeshea nini? si ndio maana tunasema kuna cycle ya umasikini kwa sababu ninyi na familia zenu zote na ukoo mzima mna mentality kama hii, what do you expect Tanga iwe?Mkuu umetema madini adimu sana. Hapa watabisha watumwa wa mzungu tu maana wako radhi wauze bia feki ili waonekane nao ni watu kwa mawazo yao
Mpumbavu unajua hali yangu mimi naweza kukulisha na ukoo wako wote mwaka mzima, wacha dharau za kisenge hizosasa watu kama wewe, wanaoridhika wakati wapo kwenye hali duni ndio mnaimaliza tanga. hiyo mentality hadi ukoo wenu mzima utakuta mpo hivyo.