Nakupa indicator moja ya ujinga na umasikini Nchi hii nayo ni Utapiamlo,
Udumavu wa lishe, au utapiamlo, ni hali inayojitokeza wakati mwili wa mtu unapopata au kutumia lishe isiyo bora au duni. Sababu kuu ni upungufu wa virutubisho muhimu kama vile protini, vitamini, madini, na nishati (kalori) katika lishe yao. Udumavu wa lishe unaweza kusababisha athari mbaya kwa...
swahilitimes.co.tz
Mikoa yote ya pwani na Kaskazini tatizo la Utapiamlo ni dogo
Hao wenye udumavu kwa kukosa chakula ndio wana hali ngumu.
Tanga Familia masikini ina access ya samaki, chapati, Wali, mihogo, ugali, mboga spices mbalimbali etc,
Ukisoma Maslow hierarchy needs kitu cha kwanza mwana damu anachotaka ni physiological needs, Maji, Chakula na malazi, vitu ambavyo vyote Tanga ipo ranked juu, kuanzia Makazi ya Bei rahisi ambayo kila mtu anaweza afford, vyakula vya bei rahisi na maji ya uhakika.
Baada ya hapo ni safety needs, kuishi kwa amani, kutoogopa kudhuriwa etc Tanga hatupigani mapanga huku na hata mambo ya ujambazi ujambazi nadra sana,