Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

Haitokuja kutokea,Tanga ndio mkoa wenye diaspora wengi kuliko mkoa wowote nchini
Wamezagaa south africa,uarabunu,america na ukaya,kika mara wanatuma hela nyumbani,ni kama zanzibar tu

..Tanga wangepewa mbegu nzuri za matunda kama miembe, minazi, na michungwa, ungekuwa mkoa tajiri sana.
 
Mashamba ya mkomge yamekufa? Niambie shamba gani la mkonge tanga limekufa? Au wachangia tu ilimradi? Kwa taarifa yako sasa hivi watu binafsi wanakula pesa za mkonge kuliko kawaida, watu wesha kuwa mabilionea sababu ya mkonge, asante kwa sera za magufuri na kuisuka upya bodi ya mkonge na sera zake, sasa hivi mnyororo wa thamani unaonekana kila mtu alima mkonge tanga
Mbona hata Arusha,Dar, Dodoma zinaendelea lakini wenyeji siyo walioleta mapinduzi makubwa ya maendeleo ?
Issue hapa ni serikali wameshindwa kupeleka maendeleo ya kweli, mashamba ya mkonge yamekufa, viwanda mbalimbali vimekufa/vimeuliwa, reli haipo tena, uwekezaji hakuna tena, bandari hakuna cha maana angalau miaka kidogo wamefanya maboresho.

Kwa hii nchi yetu, serikali ndio mdau mkubwa wa maendeleo, bila wao hakuna kitakachoendelea, case study Dodoma,Arusha na Dar.
 
..lakini wakulima wa machungwa hawapewi support kama wanayopewa wakulima wa parachichi, korosho, au chikichi. sijasikia serikali inagawa bure miche ya michungwa kama inavyofanya kwa chikichi, korosho,...
Hayo uliyotaja yanaonekana ni mazao ya biashara,machungwa tanachukuliwa poa kama matunda mengine mfano mapera,nanasi nk
 
Hayo uliyotaja yanaonekana ni mazao ya biashara,machungwa tanachukuliwa poa kama matunda mengine mfano mapera,nanasi nk

..nchi kama Misri inapiga pesa nyingi sana kwa kilimo cha machungwa.

..pia kuna nchi zimejiongeza kwenye kilimo cha nazi na wanapiga pesa vilevile.

..serikali ingeyabeba mazao hayo wakulima wa mkoa wa Tanga wangekuwa matajiri.
 
Tatizo letu serikali imekariri mazao fulani fulani
 
..nchi kama Misri inapiga pesa nyingi sana kwa kilimo cha machungwa.

..pia kuna nchi zimejiongeza kwenye kilimo cha nazi na wanapiga pesa vilevile.

..serikali ingeyabeba mazao hayo wakulima wa mkoa wa Tanga wangekuwa matajiri.
Watu wa Iringa wanachoma misitu na kudhulumu wawekezaji ambao ni watumishi,ukipata parachichi na korosho bei mbovu lakini Kuna mateja wanasema mitano Tena,nchi inaogopa wananchi wake wasifanikiwe,hii njama na siasa huru hakuna.
 
Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi

Mimi kwa upande mmoja wa familia ni wapare waliohamia Lushoto hivyo Tanga ni mkoa wangu. Tatizo kubwa la Tanga ni kuambukizwa utamaduni wa Pwani ambao sio mzuri kwa maendeleo. Yaani Watu wa mkoa wa Arusha mjini pale ndiyo wangekuwepo Tanga mjini kungekuwa na maendeleo sana. Uwekezaji mkubwa haupo na hakuna utamaduni wa kujituma. Yaani ulegelege wa Zanzibari umeingia sana Tanga
 
Unachosema nikweli ila mkoa ni nyumbn kwetu ila kule uchumi umedolola umedumaa kabisa
 
Bila mapenzi wewe ungezaliwa? Wacheni chuki na sweeping statements za kuwadharau watu wa Tanga usikute nyie mumezaliwa kwenye nyumba za tembe lakini mnaitukana Tanga.
😀😀sasa uchumi wake ulitakiwa kua level waliyopo sasa? Kuna mahali wanakwama kiuchumi ila kwenye mapenzi wanasifika hawakwami
 
Mimi kwa upande mmoja wa familia ni wapare waliohamia Lushoto hivyo Tanga ni mkoa wangu. Tatizo kubwa la Tanga ni kuambukizwa utamaduni wa Pwani ambao sio mzuri kwa maendeleo. Yaani Watu wa mkoa wa Arusha mjini pale ndiyo wangekuwepo Tanga mjini kungekuwa na maendeleo sana. Uwekezaji mkubwa haupo na hakuna utamaduni wa kujituma. Yaani ulegelege wa Zanzibari umeingia sana Tanga
Hiyo sumu inaingia mkoa mwingine kama Morogoro hawapendi wageni,wanapenda fitna
 
Back
Top Bottom