Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Ukiwa vizuri kiuchumi Tanga ni mahali pazuri Sana Kwa kuishi.Correction.
Ulitakiwa kuwa hata wa Kwanza kiuchumi.
Ukifuatilia Dar ni port city tu kama mombasa. Ila haina natural advantage yoyote nyingine, si rasilimali wala hali ya hewa iliyoifanya kuwa kubwa zaidi ya serikali kuirundikia vitu vyote haswa kiutawala.
Tanga ilikuwa na reli, viwanda, mkonge, mpaka na kenya na pia ipo karibu zaidi na Uganda kuliko dar..
Ina ardhi nzuri ya kilimo, bandari na vivutio vya utalii kama ambani, saadani etc
Kiufupi Dar ni mji uliotengenezwa na Serikali. Nimeshukuru kuona Dodoma imechukuliwa serious, japo ni pakame lakini pataleta decentralization
Sijawahi kufika ila ipo siku nitafika nikawaone mamwinyiUkiwa vizuri kiuchumi Tanga ni mahali pazuri Sana Kwa kuishi.
Nime fika 3 times, ni pazuri Sana.Sijawahi kufika ila ipo siku nitafika nikawaone mamwinyi
Uvivu una sababuTanga ni wavivu sn
Uko sahihi kabisa mkuCorrection.
Ulitakiwa kuwa hata wa Kwanza kiuchumi.
Ukifuatilia Dar ni port city tu kama mombasa. Ila haina natural advantage yoyote nyingine, si rasilimali wala hali ya hewa iliyoifanya kuwa kubwa zaidi ya serikali kuirundikia vitu vyote haswa kiutawala.
Tanga ilikuwa na reli, viwanda, mkonge, mpaka na kenya na pia ipo karibu zaidi na Uganda kuliko dar..
Ina ardhi nzuri ya kilimo, bandari na vivutio vya utalii kama amboni, saadani etc
Kiufupi Dar ni mji uliotengenezwa na Serikali. Nimeshukuru kuona Dodoma imechukuliwa serious, japo ni pakame lakini pataleta decentralization
Tanga inanyonywa na Dar pamoja na Arusha ,bandari inapigwa chini kwa vile ya Dar iko promoted sana kama ingekuwa serikali ina maono mapana basi ingekuwa inapambana na ya Mombasa...Katika shughuli za kiserkali imepokwa na Arusha kwa sababu Arusha ndio makao makuu ya kaskazini so zile regional offices kubwa za taasisi zote ziko Arusha hata kama bandari ingekuwa inahamishwa wangepeleka Arusha ...Kiufupi hakuna hata ofisi kubwa moja zote ziko Arusha.Tanga ni mkoa wa 5 kwa uchumi na uchumi wake hauja tofauti ana sana na mkoa wa 4 kiuchumi (Arusha), imepitwa na Dar, Mwanza na Mbeya.
Mikoa iliyoipita Tanga Mbeya na Mwanza ni mikoa ambayo kwenye kanda zake inategemewa, Mwanza inabeba Uchumi wote Wa lake zote, na Mbeya Uchumi wa Kusini.
Kwa situation ya sasa ni fair, kwa hio position ya Tanga, ila ni kweli inaweza fanya vizuri zaidi, tatizo kubwa ni serikali kutopeleka Bajeti ya kutosha, Ukiangalia Bajeti ya jiji la Tanga na kiasi inachoingiza kwenye pato la Taifa ni mbingu na Ardhi, hio barabara tu ya Tanga - Dar kila siku tunapewa promise haijengwi.
Uko sahihi ila tanga nusu ipo kaskazini,Lushoto,korogwe,kilindi, nusu ipo pwani,tanga muheza,oangani,handeni,shida iko hapo,makai makuu yamkoa yangekuwa lushoto mkoa ungekuwa mbali,hata kitabia watu walushoto ni wapambanaji kuliko tanga mjiniTanga inanyonywa na Dar pamoja na Arusha ,bandari inapigwa chini kwa vile ya Dar iko promoted sana kama ingekuwa serikali ina maono mapana basi ingekuwa inapambana na ya Mombasa...Katika shughuli za kiserkali imepokwa na Arusha kwa sababu Arusha ndio makao makuu ya kaskazini so zile regional offices kubwa za taasisi zote ziko Arusha hata kama bandari ingekuwa inahamishwa wangepeleka Arusha ...Kiufupi hakuna hata ofisi kubwa moja zote ziko Arusha.
Better Tanga ijitoe ukanda wa kaskazini ili iwe huru.
Kiografia yake ndio tatizo kubwa sana .Mbeya na Mwanza ni majiji huru tena kikanda zao ila angalia Tanga sasa bandari inanyonywa na Dar huku fursa za shughuli za kiserkali zinapelekwa Arusha ...Uko sahihi ila tanga nusu ipo kaskazini nusu ipo pwani
Unawakosea sana wadigo kuwaunganisha kwenye jina wagosi utapigwa mawe mkuu๐๐๐Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
Wadaini wabunge wenu...Ukiangalia Bajeti ya jiji la Tanga na kiasi inachoingiza kwenye pato la Taifa ni mbingu na Ardhi, hio barabara tu ya Tanga - Dar kila siku tunapewa promise haijengwi.
Barabara ipo kwa mkandarasi miaka zaidi ya 10 sasa, sio suala la bungeni tena, ila uswahili mwingi kuliko utekelezaji.Wadaini wabunge wenu...
Huwezi kuona hao watu, ni story tu au kizazi chao kilisha poteaSijawahi kufika ila ipo siku nitafika nikawaone mamwinyi
Uarabu uliwaponza!Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
Yaani Hako kabandari ndio Kila kitu?Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi