The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Magufuli anaua watu akiwa kuzimu.
Magufuli anasabaisha ajali bado huku yuko kaburini.
Magufuli ni hatari.
Magufuli anasabaisha ajali bado huku yuko kaburini.
Magufuli ni hatari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibie na aliyemrithi ni wale wale, kwa kauli yake.Wametoka nchi za jirani zetu hao. Tanzania kwa Sasa ni shwari. Huo upuuzi ulikuwa unafanywa na Magufuli, lkn bahati nzuri Mungu aliamua kumtwaa ili kutuepushia shida watanzania
Yapi hayo ambayo hamjawahi kuyaona ila kwa sasa yanatokea? Yapi?Huyu bibi nchi imemshinda.aachie nafasi waongoze wenye uwezo.haya hatujawahi kuyaona lakini kwa sasa yanatokea kwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekujibu anawezekana akawa anajua clue ya hiyo miili na sasa anajaribu kuhusisha na nchi jirani.Hii issue ya kusema zimetoka nchi jiran ilishawah kutolewa ata wakati wa Magufuli ila wanaharakati mlipinga kusema sio kweli cos kuna watu wanapotea! Na miili inaokotwa hivo watakuwa ni aoao!
Sasa sababu mlizozipinga mwanzo iweje leo zionekana na maana wakati marukio yanajirudia bado?
Jiwe alijiita mwenyewe mkuuNyooooo mjaalaana mkubwa wewe. Haya Magufuli bado anawauwa na kuwaweka kwenye kiroba hao watu?! Mzee wa watu alijitoa mkamlaani kwa kila jina hadi mkamwita jiwe. Kaondoka maovu bado yapo aibu zimewashika mnashindwa sasa mtamsingiziaje na hayupo tena hai.
Haya tuambieni nani sasa anawatia watu kwenye kiroba?!
Wametoka nchi za jirani zetu hao. Tanzania kwa Sasa ni shwari. Huo upuuzi ulikuwa unafanywa na Magufuli, lkn bahati nzuri Mungu aliamua kumtwaa ili kutuepushia shida watanzania
Wanataka kumchafua mama yetu mpendwa....
Wapi huko?
Wametoka nchi za jirani zetu hao. Tanzania kwa Sasa ni shwari. Huo upuuzi ulikuwa unafanywa na Magufuli, lkn bahati nzuri Mungu aliamua kumtwaa ili kutuepushia shida watanzania
Hahahha kwakweli yaniOna bakuli hili
Jamani hivi mtaacha lini kumshutumu Dkt Magufuli? Tangu lini Dkt Magufuli aliamrisha watu wauawe na kuwekwa kwenye viroba??? Yaani serikali kweli chini ya rais iue raia wake na kuwaweka kwenye viroba??? Hizo zilikuwa hujuma za akina born town kutaka kumharibia Dkt Magufuli, na kibaya hata MO alifanyiwa hivyo ili kuharibu taswira nzuri ya Dkt Magufuli. Najua mnajua na uzuri mwenye haki siku zote atasimama na ninyi na genge lenu mlishashindwa na mifupa ya Dkt Magufuli itaendelea kuwatesa mpaka vizazi vyenu vyote. Mtateseka na hamtakuja kuitawala hii nchi, siku zote mtakuwa watu wa kuteseka na mtatengwa na watanzania kama wasaliti wa haki na usawa.Wametoka nchi za jirani zetu hao. Tanzania kwa Sasa ni shwari. Huo upuuzi ulikuwa unafanywa na Magufuli, lkn bahati nzuri Mungu aliamua kumtwaa ili kutuepushia shida watanzania