Tanga: Miili ya watu yaokotwa ikiwa kwenye Viroba

Wametoka nchi za jirani zetu hao. Tanzania kwa Sasa ni shwari. Huo upuuzi ulikuwa unafanywa na Magufuli, lkn bahati nzuri Mungu aliamua kumtwaa ili kutuepushia shida watanzania
Bibie na aliyemrithi ni wale wale, kwa kauli yake.
 
Aliyekujibu anawezekana akawa anajua clue ya hiyo miili na sasa anajaribu kuhusisha na nchi jirani.

Kwanza tufahamu, miili imeokotwa wapi?
 
Jiwe alijiita mwenyewe mkuu
 
Wametoka nchi za jirani zetu hao. Tanzania kwa Sasa ni shwari. Huo upuuzi ulikuwa unafanywa na Magufuli, lkn bahati nzuri Mungu aliamua kumtwaa ili kutuepushia shida watanzania

Una uhakika?
 
Wametoka nchi za jirani zetu hao. Tanzania kwa Sasa ni shwari. Huo upuuzi ulikuwa unafanywa na Magufuli, lkn bahati nzuri Mungu aliamua kumtwaa ili kutuepushia shida watanzania

Tanga ni nchi jirani?
 
Hakuna uhusiano wa serikali na kuua wananchi wake...naona watu mnasema magufuli alikuwa anaua watu wake!!haya hayupo sasa nani anua watu sasa???
 
Wametoka nchi za jirani zetu hao. Tanzania kwa Sasa ni shwari. Huo upuuzi ulikuwa unafanywa na Magufuli, lkn bahati nzuri Mungu aliamua kumtwaa ili kutuepushia shida watanzania
Jamani hivi mtaacha lini kumshutumu Dkt Magufuli? Tangu lini Dkt Magufuli aliamrisha watu wauawe na kuwekwa kwenye viroba??? Yaani serikali kweli chini ya rais iue raia wake na kuwaweka kwenye viroba??? Hizo zilikuwa hujuma za akina born town kutaka kumharibia Dkt Magufuli, na kibaya hata MO alifanyiwa hivyo ili kuharibu taswira nzuri ya Dkt Magufuli. Najua mnajua na uzuri mwenye haki siku zote atasimama na ninyi na genge lenu mlishashindwa na mifupa ya Dkt Magufuli itaendelea kuwatesa mpaka vizazi vyenu vyote. Mtateseka na hamtakuja kuitawala hii nchi, siku zote mtakuwa watu wa kuteseka na mtatengwa na watanzania kama wasaliti wa haki na usawa.
 
Mlimuwekelea Magufuli wa watu,
Ama kweli mnaumbuka,alijitolea kwa dhati nchi yetu iinuke mkaanza wivu,fitina na majungu.
Sasa Kiko wapi?

MUNGU halali,na sijui kama tutapata mtu aina yake tena,ilmetoka hiyo.
Aseeee tungekua mbali mnoo,pumzika shujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…