Tanga: Miili ya watu yaokotwa ikiwa kwenye Viroba

Ni watu kushindwa kutambua tu,utawala was aina ya SAMIA/Kikwete ndio watu huwa wanauwa wengi sana-kwa kuwa aina ya Utawala unakiwa unapumbaza watu
Ni kweli wewe kumbuka Daudi Mwangosi aliuawa mchana tena kwa makusudi. Dkt Magufuli alikuwa ni mtu mwenye huruma mno. Na kama kuna matukio ni watu ambao walifanya kumchafulia
 
Yaani mnataka kusema mama yenu naye ameamua kuwa vulture , loh sitaki kuamini, ila inawezekana maana mpaka juzi anashtuka anamuondoa yule Sirro atakua amemaliza wengi pia, nchi ilifika mahali ni afadhali hata ya Somalia na Sudan Kuliko hapo, Yaani kiufupi ilikua balaa tupu ila Mungu ni mkuu sana aliamua kuingilia kati mapemaaaa kabisa kabla mambo hayajawa magumu zaidi.
 
Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria ni ofisi ya Kingai( makosa ya jinai) atakaye shughulikia uchunguzi?
Kama mchunguzi ni kingai marehemu wazikwe tu.
Hakuna tumaini la kupatikana kwa haki.
 
Hivi hawa mbwa wanaofanya haya mauaji, wanadhani na wenyewe wataishi milele!! Kwa nini umuue binadamu mwenzako kirahisi tu!!

"Mashahidi waliona gari aina ya Landcruiser nyeupe ikipita katika maeneo yao"

Nani ni wamiliki wakuu wa magari ya aina hii?
 
Magaidi hao..mnalala na kuamka mnaona mambo shwari kuna watu hawalali kwaajili ya usalama wa hii nchi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria ni ofisi ya Kingai( makosa ya jinai) atakaye shughulikia uchunguzi?
Kama mchunguzi ni kingai marehemu wazikwe tu.
Hakuna tumaini la kupatikana kwa haki.
😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…