Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nadhani ndio juhudi za DC zinazoendeleambona nimeona video wazee wameshuka hadi 15M..
Hii nchi tunaelekea pabaya sana aisee.Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga , ambako imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee .
Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum , Juhudi za Mkuu wa Wilaya kuomba punguzo zinaendelea
Habari kamili hii hapa
View attachment 2006915
Yana nguvu kwa watu wenye vielementi vya kishirikina kama mlivyo tuaminisha kuwa nyungu ni dawa ya coronaMatambiko yana nguvu sana, ila wazungu na waarabu wametufanya tuone ni ushetani.
Sikuwahi aminisha mtu nyungu ni dawa ya corona mkuu.Yana nguvu kwa watu wenye vielementi vya kishirikina kama mlivyo tuaminisha kuwa nyungu ni dawa ya corona
[emoji38][emoji38][emoji38]sasa hawa wazee si wafanye tambiko barabara ipite juu ya miti yenyewe, wafanye tena tambiko lingine kijiji chao kiwe kama malaga spain vile..
Hapo bila tambiko hapajengeki hiyo barabaraHii nchi tunaelekea pabaya sana aisee.
Tunafikia hatua ya kuamini mambo ya kishirikina hadi kutumia mamilioni ya wananchi kuyapeleka milima korelo?
Hivi ile clinic ya Nyungu pale Muhimbili bado ipo ?Yana nguvu kwa watu wenye vielementi vya kishirikina kama mlivyo tuaminisha kuwa nyungu ni dawa ya corona
Kwa maana hiyo kuanzia sasa serikali inaamini kwenye uchawi?Hapo bila tambiko hapajengeki hiyo barabara
Wajuba walisha ibomoa siku chache baada ya kutoka kanda ya ziwa.Hivi ile clinic ya Nyungu pale Muhimbili bado ipo ?
Iπ π πsasa hawa wazee si wafanye tambiko barabara ipite juu ya miti yenyewe, wafanye tena tambiko lingine kijiji chao kiwe kama malaga spain vile..