Tanga: Milioni 21 waliyoiomba Wazee kwa ajili ya Tambiko yakwamisha Ujenzi wa Barabara

Tanga: Milioni 21 waliyoiomba Wazee kwa ajili ya Tambiko yakwamisha Ujenzi wa Barabara

DC hiyo 15milioni ya mizimu ongeza jengo la wodi la wazazi hapo wake zao waende wakajifungue....
Tafuta mwekezaji kutoka Arusha awajengee club ya usiku mizimu ipate burudani usiku na wazee wale bata wapunguze stress..
 
Tukianza kubow kwa pressure hizi za kimila tumekwisha. Nchi haitakiwi kuwa na imani za kishirikina hata siku moja. Sijaona kwenye Katiba serikali ikilazimishwa kulipia mitambiko ya kimila. Namkumbuka Nyerere sana baba wetu wa Taifa, nchi imeingia chaka la hatari. Nyerere akifufuka itamlazimu arudi tu alikotoka kwani hawezi vumilia huu upuuzi.
 
DC kanywea kuwatia ndani, barabara haipiti bila 15m, mkwala mzito huo 🤣🤣🤣🤣
 
Tukianza kubow kwa pressure hizi za kimila tumekwisha. Nchi haitakiwi kuwa na imani za kishirikina hata siku moja. Sijaona kwenye Katiba serikali ikilazimishwa kulipia mitambiko ya kimila. Namkumbuka Nyerere sana baba wetu wa Taifa, nchi imeingia chaka la hatari. Nyerere akifufuka itamlazimu arudi tu alikotoka kwani hawezi vumilia huu upuuzi.
Hivi unajua huyo unayemtetea ndio ametuachia tambiko la mwenge na linalotufanya Watanzania tumekuwa kama lile bunge la ndugai huku tukijifariji ni nchi ya utulivu na amani huku wenye mamlaka wakitufanya wanavyotaka.
 
Hapo bila tambiko hapajengeki hiyo barabara
Halafu wote hao Ni waislamu na msikitini wanaenda .Ni aibu kwa uislamu.Sheikh mkuu wa Bakwata nenda haraka kaongee na hao watu wako matambiko na uislamu wapi na wapi? ummy mwalimu waziri wa Tamisemi Zigo lako Hilo watanga wenzio Tena waislamu wenzio na waislamu wenzie na Mama Samia wanataka milioni 21 za tambiko barabara ipite.Mwambie mama Samia muislamu mwenzao awape

Pili huo Ni ushahidi kuwa serikali islaumuwe kuwa kuna maeneo maendeleo hayapelekwi watu hawataki hapo kwa msisi Ni ushahidi
 
Back
Top Bottom