Tanga: Milioni 21 waliyoiomba Wazee kwa ajili ya Tambiko yakwamisha Ujenzi wa Barabara

Tanga: Milioni 21 waliyoiomba Wazee kwa ajili ya Tambiko yakwamisha Ujenzi wa Barabara

Rais wetu wamemudharau Sana,yaani inafikia hatua wachawi wanatoa masharti kwa Serikali?
Tangu nizaliwe sijawahi sikia kokote duniani.

yaani hao unawaacha unaondoka, usiku unaleta vijana kama 40 kutoka kikosi fulani, wanakula fimbo halafu asubuhi kimya, mnawaacha kama week mnawafuata tena wamelala wanakula fimbo.....halafu mkija tena mnawaambia na sisi mizimi yetu imekasirika kwanini mizimu yao haitaki maendeleo....uone kama wataleta hizo story zao....
 
tukiendekeza huu ujinga, kuna siku mizimu itakaa Airport kumzuia mama asisafiri tena kwenye kikao UN kabisa....tena hiyo inaweza kudai damu kabisa..
Usiwe na jazba.....

Unadhani watakuambia kuwa kipindi wanaujenga uwanja wa ndege hakukufanyika matambiko eneo lililokuwa pori?!!!
 
Tukianza kubow kwa pressure hizi za kimila tumekwisha. Nchi haitakiwi kuwa na imani za kishirikina hata siku moja. Sijaona kwenye Katiba serikali ikilazimishwa kulipia mitambiko ya kimila. Namkumbuka Nyerere sana baba wetu wa Taifa, nchi imeingia chaka la hatari. Nyerere akifufuka itamlazimu arudi tu alikotoka kwani hawezi vumilia huu upuuzi.
Nyerere mwenyewe aliasisi tambiko la MWENGE ambalo linatutesa sana linatugharimu pesa nyingi tofauti na hiyo 15m.
 
yaani hao unawaacha unaondoka, usiku unaleta vijana kama 40 kutoka kikosi fulani, wanakula fimbo halafu asubuhi kimya, mnawaacha kama week mnawafuata tena wamelala wanakula fimbo.....halafu mkija tena mnawaambia na sisi mizimi yetu imekasirika kwanini mizimu yao haitaki maendeleo....uone kama wataleta hizo story zao....
Nafuu Yule dikiteta aliyetwaliwa upuuzi Kama huu usingesikia.
 
yaani hao unawaacha unaondoka, usiku unaleta vijana kama 40 kutoka kikosi fulani, wanakula fimbo halafu asubuhi kimya, mnawaacha kama week mnawafuata tena wamelala wanakula fimbo.....halafu mkija tena mnawaambia na sisi mizimi yetu imekasirika kwanini mizimu yao haitaki maendeleo....uone kama wataleta hizo story zao....
😳😳🤣🤣🤣

Unaongea kama mtoto mdogo vile....ha ha ha
 
Usiwe na jazba.....

Unadhani watakuambia kuwa kipindi wanaujenga uwanja wa ndege hakukufanyika matambiko eneo lililokuwa pori?!!!

utakuwa ni ujinga, kama wanatumia gharama kubwa za hela eti kufanya tambiko....kuna vitu ukiamini lazima vikutese tu.....
 
Hivi ni kwamba mimi ndiye sijaelewa au... kwamba Mizimu ndo inataka (ipelekewe) mil21 ama vipi?
 
🤣🤣Kuna mkoa usio na imani hizo za kishirikina?!!!!

Nitajie na wanaotaka urais kutoka huko.....
Niliwahi kumsikia live JPM akieleza jinsi walivyosumbuliwa walipokuwa wakijenga daraja fulani mkoa wa Katavi, mpaka walipokwenda kumuona mzee wa kijiji wakafanya matambiko ndiyo barabara ikaendelea.
 
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee.

Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum. Juhudi za Mkuu wa Wilaya kuomba punguzo zinaendelea.

Habari kamili hii hapa

Hii nchi upuuzi na ujinga unaendekezwa sana
 
Niliwahi kumsikia live JPM akieleza jinsi walivyosumbuliwa walipokuwa wakijenga daraja fulani mkoa wa Katavi, mpaka walipokwenda kumuona mzee wa kijiji wakafanya matambiko ndiyo barabara ikaendelea.
Huyo hana kumbukumbu hizo kwa kuwa hazitaki 🤣🤣
 
Kwahiyo kuwapa wapumbavu hela wafanye tambiko ndio utu uzima....nieleweshe kidogo...
Hayatakuwa mara ya kwanza....kule Katavi hayati JPM alisema "ilibidi tuwaone wazee na matambiko ili pajengwe".....uzuri wake sina ushahidi kuwa "waliwaona" kavukavu tu bila ya chochote......🤣
 
Back
Top Bottom