Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barabara ya kupita wenyewe wanataka wahongwe kuondoa madudu yaoHii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee.
Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum. Juhudi za Mkuu wa Wilaya kuomba punguzo zinaendelea.
Habari kamili hii hapa
Wapeni wazee wa kwa Msisi, mbona wamepunguza kutoka mil. 21 hadi 15? Wapeni fidia ya maeneo yao sio lazima mkute majengo, hayo mnaona miti na mapori ni makazi yao ya mizimu.Unaweza ukastaajabu, lakini ndio ukweli. Barabara ni kwa ajili ya wananchi wenyewe, lakini wananchi wenyewe ndio wanahitaji walipwe pesa ya kufanya tambiko ili barabara ipite.
Je, ni lazima barabara ifanyiwe tambiko? Isipofanyiwa haipitiki?
View attachment 2007086
Note: Ukisikiliza hii video vyema ni kama kuna harufu ya upigaji. DC ana figure ya 21 M, ila mzee anasema kwenye vikao walikubaliana 15M.
[emoji38][emoji38][emoji38]Acheni kuwajengea pelekeni sahemu nyingine.
Yaani Kodi zetu zitumike kohonga wachawi? Hapana.
Huu utakuwa mchezo wa wachawi,leo Tanga,kesho utasikia Sumbawanga.
Kila mkoa ukiamua kutumia uchawi kuikwamisha Serikali inaweza.
Sehemu zingine Kuna treni za kichawi.Nao watataka pesa ili wasiikwamishe treni ya kawaida.
Serikali kalipieni upuuzi huu.
Barabara si ni faida yao? Wasipopewa inakuwaje?Wapeni wazee wa kwa Msisi, mbona wamepunguza kutoka mil. 21 hadi 15? Wapeni fidia ya maeneo yao sio lazima mkute majengo, hayo mnaona miti na mapori ni makazi yao ya mizimu.
Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
Hawana shida nayoBarabara si ni faida yao? Wasipopewa inakuwaje?
Ushenzi wa namna hii ndio ulikuwa unamfanya waziri wa barabara wa miaka hiyo (JPM) kuhamisha kabisa njiaUnaweza ukastaajabu, lakini ndio ukweli. Barabara ni kwa ajili ya wananchi wenyewe, lakini wananchi wenyewe ndio wanahitaji walipwe pesa ya kufanya tambiko ili barabara ipite.
Je, ni lazima barabara ifanyiwe tambiko? Isipofanyiwa haipitiki?
View attachment 2007086
Note: Ukisikiliza hii video vyema ni kama kuna harufu ya upigaji. DC ana figure ya 21 M, ila mzee anasema kwenye vikao walikubaliana 15M.
Hiyo ni elimu pana sana kwenye maandiko matakatifu. Kwa kifupi, ni Malaika waliohasi na wako busy kututoa kwenye mstari wa kumuelekea Mungu wetu.Kwa nini uite mapepo mkuu?
alafu wao ndio mabingwa, dadadeqMatambiko yana nguvu sana, ila wazungu na waarabu wametufanya tuone ni ushetani.
Ukishangaa ya musa.... hawa wazee ni wazee wahuni tu hapo ndipo namkumbuka mwendazake, angekuwepo wala wasingeleta ujuha huu. Hawa hawataki maendeleo hakuna haja ya kuwabembeleza pitisha barabara kwingine halfu waone wajukuu wao wakijifungulia maporini kwa kukosa usafiri, ukikosa barabara maana yake utakosa soko la mazao yako,hata umeme wataukosa sababu hizo nguzo zitasafirishwa na nini, watu wa Tanga wamejawa na imani za kishirikina sana.Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee.
Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum. Juhudi za Mkuu wa Wilaya kuomba punguzo zinaendelea.
Habari kamili hii hapa
We huna heshima kwa Chifu Hangaya eenh??kuna kitu natafuta.HESHIMU MACHIFU!Hii nchi tunaelekea pabaya sana aisee.
Tunafikia hatua ya kuamini mambo ya kishirikina hadi kutumia mamilioni ya wananchi kuyapeleka milima korelo?