Wewe ni daktari mpumbavu sana....unajua BT ngapi zinafanyika nchi nzima kila siku?...lini umesikia scenario kama hii imetokea?...Always unaambiwa kuwa na very close observation ya mgonjwa anayeongezewa damu hasa mwanzo damu inapoanza. All in all tukubali kuwa tumempoteza Mama kwa uzembe wa watumishi wenzetu kufanya kazi kwa mazowea
Sensible ni kuacha kukomenti.Nini hii umeandika?Selian ni hospitali nzuri na pia na shauri wkwa tanga ni ile ya mkoa wa jitahidi sana kuwa wasafi na ninzuri
Aisee ☹️Ukute dam yenyewe aikua group lake
Dawa hiyo familia kuwafungulia kesi wawe mfano kwa wajinga wajinga wengine.thamani ya uhai kwa mwanadamu hapa nchini imeshuka sana, yaani makosa ya uzembe hospitalini ni mengi sana na yanaongezeka kwa kasi sana, inaonekana hakuna adhabu kali zinazotolewa kwa wazembe hawa...siamini kabisa. Maisha na uhai wetu watanzania wa hali za kawaida yamekuwa hayana umuhimu mbele ya watu waliokabidhiwa kutusaidia. Nawaza ningekuwa Mungu...ningetengeneza gharika..ningeua binadamu wote ili nilete kizazi kingine ambacho kitaleta tabia zingine na si hizi watendazo kizazi hiki....japo wenye haki wangeumia lakini ingekuwa tu hivyo..
Upasuaji wa nyongo?Huko India ndipo walifanya upasuaji wa nyongo na kusababisha kifo cha shangazi yangu ambaye alienda huko akiwa mzima na kuamua kwenda kucheki afya yake.
Medical negligence ni kila mahali. Ni kama ajali tu!
Hebu rekebisha nilipokosea wewe mjuvi wa Kiswahili. Wewe ni wa kupuuzwaWewe ni daktari mpumbavu sana....unajua BT ngapi zinafanyika nchi nzima kila siku?...lini umesikia scenario kama hii imetokea?...
Hata kiswahili tu kinakusumbua...
NdiyoUpasuaji wa nyongo?
Wahuni sana. Nilishtuka sana kifo cha ghaflaIndia pia kuna uhuni mwingi plus below quality medicines. Km mtu una hela bora ukatibiwe Marekani though it's very expensive
Naomba ufafanuzi kidgo hapa mkuu kama hutojaliNdiyo
Marehemu alikuwa na changamoto ya tumbo kujaa gesi kwa miaka mingi.Naomba ufafanuzi kidgo hapa mkuu kama hutojali
Kwani wanaopima na kukusanya hizo sample za damu si hao hao vilaza walioajiriwa chini ya wizara ya afya ?Damu ya kirusi inafikaje hospital mkuu...?